Harmonize na wimbo wake wa Jeshi wenye biti la nyimbo ya Chege, Twenzetu

Duduke

Senior Member
Jul 12, 2020
112
104
Kama nimkongwe fatilia biti alotumia Harmonize kwenye wimbo wake wa jeshi utasikia biti moja kali sana linasikika ambalo alishawahi kulitumia Chege na temba kwenye wimbo wao wa twenzetu kasoro ye kali-modify kidogo limekuwa zito flani ila ni lilelile la kina Chege.

Ukitaka kuamini ingia YouTube watch wimbo wa Chege na temba Twen'zetu alafu watch tena iyo nyimbo kali ya Harmonize, Jeshi alafu lete mrejesho hapa utagundua lile biti alotumia ni la kina Chege binafsi nampongeza kwa kazi nzuri nimeupenda sana huo wimbo wake na amenikumbusha mbali kutumia biti la Twen'zetu ni wimbo ambao niliupenda sana kipindi hicho.
 
Twenzetu tukapige ulabu tukishakuw bwaks twendzetu klabu
 
Back
Top Bottom