Fazz
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 635
- 1,456
Sehemu ya 1
Nilitoka kazini nikiwa nimechoka sana nikaamua kurudi nyumbani moja kwa moja tofauti na siku nyingine ambazo nilipitia hapa na pale nikiwa na lengo la kupoteza muda kabla sijarudi nyumban.Nilimkuta mke wangu hana furaha kama nilivyomzoea siku zote. " mke wangu nini shida mbona sijakuzoea ukiwa hivi. Nikimuuliza mam watoto ambaye baada ya kunitengea chakula bado hakua muongeaji kabisa ndipo nilipoamua kumdadisi na maswali ya hap na pale.Mke wangu alikua na kawaida ya kunisimulia mambo yote yaliyojir kila siku kw sababu kawada ya wanawak hawawezGi kukaa na kitu bila kukitoa..Mme wangu leo nimegombana na mama deo ameniker sana.
Mke wangu aliongea kwa uchungu kidog " amekukera na nn mama hebu niweke wazi basi ili kama kuna haja ya kuwapatanisha tukaongee nae muelewane..Nielewane na nani shetani yule sitaki hata kumuona. Mke wangubaliongea kwa gadhabu kidogo "Duh basi kama mambo yenyewe ndo hayo basi bhana.Niliamua kunyamaza nikaona mambo ya wanawake yatamalizwa na hao hao.Nilipomaliza kula mke wangu alito vyombo na mimi kuangali tv kidogo .Basi mud wa kulala ulipofika tuliingia kitandani na mke wangu tukalal..Wakati nimelala nilimuona mke wangu akiweweseka akiwa usingizini alikua amelala lakini akawa anStuk stuka san nilijaribu kumwamsha lakini bado hakuamka.
Nilimtikisa lakini bado hakuamka nilianza kuingiwa na wasiwasi nilipo angalia saa ilikua ni mida ya saa 8 usiku.Mhh kwani kun nn jMani mbona sielew hapa nilijiuliza nikiwa nimeamka na kwend kuchota maji kwa ajili ya kummwagia nikiwaza huenda labda amezimia..Nilitoka mpKa sebleni ambaPo ndipo ndoo za maji zinapokaa nilipofungua ndoo za maji nilishangaa kuona ndoo zote hazina maji jambo ambalo halikua la kawaida pale kwetu niliamua kurudi chumbani kuangalia huenda mke wangu ameamka.
Kufika chumbani nikishangaa kukuta kitandani hakuna mtu nilianza kupata hofu kwa sababu nyumba tuliyokua tunakaa ilikua ni chumba na sebule tu na sikumwona akipita sebleni. Nilijikuta naanza kupata hofu nilijaribu kucheki uvunguni labda nitamwona lakini niliambulia patupu mhhh. Nini hiki jamani nilijiuliza kimoyomoyo. Niliamua kwenda tena sebleni huenda nikamwona lakin bado ilikua ni kazi bure.. Hofu ilianza kuniingia lakini nikajip moyo wa kijasiri nilifungua mlango kwa lengo la kutoka nje. Nilipofungua mlango nilipata mstuko baada ya kuona kuna mtu amelal mlngoni nilitaharuki na nikutaka kukimbia lakini nikajikaza nikamsogelea ili nijuie ni nani, Lahaula! alikuwa ni mke wangu amelala pale chini fofofo nilijikaza kiume nikajaribu kumwamsha lakini bado hakuamka mhh basi.
Niliamua kumbeba mke wangu na kumrudisha chumbani pale pale kitandani. Mhh hiii ya leo kali nilijiwazia kimya kimya.Kwa usiku huo sikujua nifanye nn niliamua kukaa kitandani nikiwa nawaza n nn kinaendelea..Wakati naendelea kujiwazia ghafla mke wangu alipiga chafya ambayo ilinistua almanusura nikimbie alianza kujinyoosha nyoosh akaamka Hee mume wangu mbona hujalala mpaka sa ivi. Mke wangu aliniuliza kwa mshangao na mimi bado nikikua namshangaa kwa sababu alionekana hajui chochote.
Niliamua kumzuga tu ah nimetoka chooni mke wangu.Sikutaka kumwambia chochote kwa usiku huo kwani ningemtia hofu basi niliamua kupanda kitandani kwa lengo la kuendelea kupiga usingizi. Nilipata shida san kupata usingizi lakini nikapitiwa.Nikikuja kustuka asubuhi baada ya mke wangu kuniamsha kwa kuntingisha..Nilistuka nilipoangalia saa nilikurupuka kwa sababu muda ulikua umeshaenda na nilikua nishachelewa kazini.
Niliamka nikaenda kuoga chap chap Ili niwahi kazini nilishidwa hat kunywa chai niliyokua nimeandaliwa na mke wangu kutokan n kuchelewa nilimwangalia mke wangu kwa sekunde kadhaa nikitafakari ya jana nikamkisi na nikamwaga pale japo alinuna kidog kutokana na kuiacha chai yake bila kuinywa nikampa maneno matam pale kidog nikamwacha anatabasam nikaondoka kuwahi ofisini njiani nikiwa nakaribia kituo cha daladala nilikuatana na jirani yetu mama deo nilimwambia za asubuhi jirani kama desturi yetu ya kusalimiana lakini badala ya kujibu alisonya na kupita.
Nilitamani kumuuliza kulikoni lakini nilijivunga na kuamua kuwahi kazini ghafla nilikumbuka kuna kitu cha muhimu nilikisahau nyumbani. Nilipokua nakaribia nyumbani nilimwona mama deo akitoka nyumbani kwangu kwa haraka akiwa kama anakimbia hakuniina wakati na karibia ye alikata kona akatokomea kwenye uchochoro uliokua pale niliamua kuwahi kwenda kuona kuna nini kinaendelea baina ya mke wangu na jirani kuingia mlangoni nilichokikuta kilinipa mstuko wa hali ya juu sikuamini kama mama deo anaweza kufanya kitendo kile nlichokiona pale ndani.
Itaendelea.
Usikose sehemu ya 2
Uchawi wa jirani
Toa maoni yako
Sent using Jamii Forums mobile app