Tieli JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 651 Reaction score 1,517 Sep 13, 2020 #2 Chukua yoyote ila utakapofika ndoani ndio utajua ulitakiwa kupata mtu wa aina gani maana utakuwa mwalimu wa wengine pia
Chukua yoyote ila utakapofika ndoani ndio utajua ulitakiwa kupata mtu wa aina gani maana utakuwa mwalimu wa wengine pia
bassarere JF-Expert Member Joined Dec 5, 2018 Posts 301 Reaction score 571 Sep 14, 2020 #3 Kakitu kadogo dogo tu sio kakubwa sana wala sio kadogo sana inapendeza sana, utajikuta hata unafikisha miaka 60 hapa duniani
Kakitu kadogo dogo tu sio kakubwa sana wala sio kadogo sana inapendeza sana, utajikuta hata unafikisha miaka 60 hapa duniani