Niaje wakuu hii tv show aise iko poa sana kwangu kuanzia stor hadi cast wake.hasa MASTER ndio ananifuraisha sana na ANGELA ABRAHAM maana dada anakinukisha balaa
"BABA KAMA PUNDA JAMANI"
"KISA CHA KWELI, CHENYE KUSISIMUA"
Umri__
Naitwa Koga nimezaliwa mkoani Shinyanga vijiji
Mimi ni binti wa kisukuma, maisha yangu ukubwani
nikiwa binti mkubwa niliyaishi...
...Taarifa ya kuwa baba yake kabakiza muda mfupi wa kuishi duniani ilimkuta akiwa nyuma ya nondo..
..Wakati hajajua aipokee vipi habari hiyo ni siku mbili mbele..akafungwa pingu akahudhurie...
Twende kwenye mada ndugu zangu tatizo gharama za king'amuzi zimepanda sana hivi kwa wenye welewa tatizo ni nini hasa.
Kupanda kwa gharama namna hii hasa kipindi hiki.
bomba la mbele-01
Nlikuwa nimetoka kwenye harakati zangu za kutafuta riziki na muda huo ilikuwa Ni majira ya SAA 2 usiku
nikirudi getto kwangu maeneo ya kigogo, siku hiyo ilikuwa Ni ya bahati...
Huwa ninapenda kuangalia movie za kibongo.
Ingawaje tunajitahidi kwenda na wakati, lakini naona kuna makosa kibao ya wazi tunayafanya ambayo yangeweza kuepukika.
Editing
Kosa kubwa la kwanza...
..Ni John cale..capitol police officer..baba wa mtoto mmoja wa kike..
..Alimuahidi binti yake kuwa angepata kazi kwenye ikulu ya marekani..kama special agent..mtu anaeangalia maisha ya raisi kwa...
..Alikuwa shahidi wa horrors of a brutal regime kwenye taifa la Turgistan..aliona asichopaswa kukiamini...
..Hakupenda mauaji ya kikatili waliyofanyiwa wasio na hatia kwenye nchi hiyo...ila...
Meli iliyobeba cesium..kemikali zenye sumu zinazoweza kutengeneza silaha za hatari na kuua mamia ya raia wasio na hatia..
..Ilikuwa inahitajika kuwasili..na ilihitajika kuzuiwa isiwasili...
..Mkutano mkuu unaowahusisha wanasayansi wakubwa duniani..Dr. Martin Harris alipokea mwaliko..akafunga safari mpaka ujerumani..mkewe akiwa pembeni..
..Ni ndani ya mji wa berlin kwa ajili ya...
Habari wana jamvi, nimekua nikikutana sana habari za hawa watu, lakini sijuwi nikina nani, chakushangaza leo wakati nasoma lyrics za luck dube kwenye nyimbo ya freedom fighter nikakutana tena na...
Night kali wakati naangalia pambano la mwakinyo aliingia msela moja wa sinza alipokoswa ngumi moja mwamba akasema jamani mi ni tamaa tyu sina uwezo wa kupambana naomba pambano...
..Ni Henry Brogan..Former marine Scout Sniper..Binadam aliezawadiwa shabaha ya umbali mrefu karne ya 21...anaefanya kazi kama assassin kwenye usimamizi wa D.I.A..
...Defense Intelligence Agency...
..Aliujua ubora wake kwenye uandishi..akatengeneza mashabiki wanaopenda kalamu yake..visa vya kutisha ndo vilimuhusudu sana..na ye akalijua hilo..akaliishi..
..Mtindo wake wa uandishi ni wa...
...Alipenda kutimiza ahadi..alijiapia mbele ya marehemu mkewe..kuwa angeacha kila kitu nyuma na kuanza maisha upya..
..kama mfanyakazi wa kiwanda cha Home Mart hardware store..angeishi kama raia...
..Walijua wamefanya kosa..wakajua kuwa wanatakiwa kulisawazisha kabla ya alfajiri..wakasawazisha kosa la kwanza..kwa kufanya kosa la pili..
..Waliihitaji risasi kutoka kwenye mwili wa...