Romeo and Juliet

Romeo and Juliet

lango moja

Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
9
Reaction score
0
Habari wana jamvi, nimekua nikikutana sana habari za hawa watu, lakini sijuwi nikina nani, chakushangaza leo wakati nasoma lyrics za luck dube kwenye nyimbo ya freedom fighter nikakutana tena na majina haya, mwenye kujua hostoria yao au mwenye kitabu chochote naomba anisaidie...
 
Hao ni characters tu katika igizo la Shakespeare!
 
Habari wana jamvi, nimekua nikikutana sana habari za hawa watu, lakini sijuwi nikina nani, chakushangaza leo wakati nasoma lyrics za luck dube kwenye nyimbo ya freedom fighter nikakutana tena na majina haya, mwenye kujua hostoria yao au mwenye kitabu chochote naomba anisaidie...

Hao ni characters kutoka kwa William Shakespeare masterpiece play na inapendwa sababu it tells a love story about two lovers ambao familia zao mbili walikuwa arch enemies in the end they both died..its a captivating story that's y ni very popular
 
habari za leo waktu wa kama heading inavyosema hapo juu hayo majina ya watu wawili ROMEO & JULIETH nimekuwa nikiyasikia sana tangu muda sana kwenye nyimbo au tamthilia mbalimbali kwa nilivyosikia kwnye hizo nyimbo ni kama vile walikuwa ni wapenzi je waliwahi kuwapo ulimwenguni na kama walikuwepo walit0kea nchi gani? mbona wamepata umaarufu na ukiangalia zamani hakukua na mitandao ya kijamii au walikuwa watu maarufu (wasanii,wanasiasa,waigizaji) au matajiri tu ? Na inawezekana hiyo ndiyo couple bora kuwahi kutokea ulimwenguni ?
Kwa anaejua naomba anijuze nimeangalia google nimeshindwa kuelewa kutokana lugha ya kiingereza kuwa ngumu kwa upande

#yuNGtEmP3R

yes bishoo haswaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Romeo ni mwanzilishi wa mji maarufu wa Roma ulimwenguni
Na julieti alikuwa ni dada yake Romeo wote walikuwa mashujaa katika mapambano
Ila sijui kama walikuwa wanajua walichokianzisha kitakuja kuwa kikubwa duniani hadi kuutawala ulimwengu

E&K
 
sawa sawa mkuu nilijua ni wapenzi kumbe ndugu

yes bishoo haswaaaa
 
Eti nasikia sikia hao walikuwa ni wapenzi walioshibana sana ila walikuwa majambazi balaa hata kufa inasemekana eti walidied pamoja,
 
Kuna filamu pia iliigizwa mwaka 1996 hii iliwazungumzia Romeo na Juliet kama wapenzi iliandikwa na mwandishi mmoja nimemsahau jina
220px-Romeo_and_juliet_brown.jpg

E&K
 
Back
Top Bottom