Simulizi: Bomba la mbele

ujuguhapa

Member
Jul 28, 2020
30
36
bomba la mbele-01
Nlikuwa nimetoka kwenye harakati zangu za kutafuta riziki na muda huo ilikuwa Ni majira ya SAA 2 usiku
nikirudi getto kwangu maeneo ya kigogo, siku hiyo ilikuwa Ni ya bahati Sana maana mfukoni nilikuwa na
elfu 40 ,kitu ambacho haikuwa kawaida kupata ela ndefu kiasi hicho kwa siku moja.
.
.
Nilifika kwenye nyumba niliyopanga maana ilikuwa Ni uswahili , nilifika nikawakuta wapangaji wenzangu
wakiwa nje huku giza likiwa limetanda.
.
. “Eheeee Bora umekuja James maana tulikuwa tunakusubiri wewe “ ilikuwa Ni sauti ya sabra mpangaji
mwenye maneno mengi Sanaa na alikuwa akiishi mwenyewe , sabra alikuwa hana kazi zaidi ya kushinda
akiwa amelala ndani na sikujua pesa za kulipa Kodi alikuwa anatolea wapi maana muda wote alikuwa
anashinda ndani tu.
.
. “Ahaaaaa jamanii kwanini msinunue umeme Mimi nikija ningewapa ela yenu , Yani sabra kwelii mpaka
mnisubirie Mimi !!!!”
.
. “sasa wewe sindio wa kiume nyumba nzima uliobaki maaana mama mariamu mume wake ameenda
congo na Lori na kurudi Kama unavyojua Ni baada ya miezi mitatu”.
.
. “Ahaaaaa!!! Bac sawa sabra Mimi ntakuweza bac wewe mtoto wa kitanga , ila inabidi niwe na number
zenu za simu wapangaji wenzangu ili shida Kama hii ikitokea tuwasiliane kwa haraka zaidi ya kusubiriana
mpaka kila mmoja arudi”.
.
. “na siye tulikuwa tunangaa James una miezi 2 tangu huamie hapa ila huna hata number zetu jamanii au
ndio unaringa kisa wanawake wote hapa mtaani wanapagawa na u handsome wako???”.alikuwa Ni
subira mtoto wa kizaramo aliyekuwa akiongea huku akiwa amebinua kalio lake kubwa kwenye kigoda
kalio lililokuwa likipagawisha kila mwanaume mtaani .
.
. “Ahaaaaa!!! Subira maneno gani Sasa hayoo!!! Ngoja nianze kuchukua no. Zako kabisaa maana Mimi
siwawezi kwa maneno yenuu”.
.
.
Siku hiyo subira na sabra walinisema haswa wakati huo mama mariamu yeye alikuwa akiendelea
kuongea na mume wake kwenye simu , tulichangisha elfu 5 kwakila mpangaji Kisha tukanunua luku
tukaweka umeme , sikusahau kuchukua number za wapangaji wote kwaanzia subira , leyla na mama
Mariamu mmama aliyekuwa anasumbua mtaa kwa kuwa na bonge la kalio... ITAENDELEA
 
Bomba la mbele -02
Tuliweka umeme Kisha kila mmoja akaingia chumbani kwake, nilifungua chips zangu nilizonunua wakati
natoka kazini , zilikuwa Ni chips na mishkaki na takeaway ya soda aina ya coca , nilianza kula huku
nikishika simu yangu nakuanza kumtumia massage subira . Na chatting zilikuwa Kama ifuatavyo.
.
.
James: “Hellow sabra it’s me James”
.
.
Sabra: “Jamanii niambie handsome wetu,. unafanyaje muda huu”.
.
.
James:“nipo ninakula mrembo”.
.
Sabra: “ unakula Nini handsome”
.
.
James: “nakula chips tu sabra karibuu”
.
.
Sabra: “Na Nina njaa kwelii James naona uvivu kupika , mie naja kula kweli”
.
.
James: “Njoo sabraa chips Ni nyingi hizi sidhani Kama nitazimaliza mwenyewe”.
.
.
Baada ya dk 2 mlango wa chumba changu ulikuwa unagongwa ,haraka haraka niliekea mpaka mlangoni
kwaajili ya kufungua mlango muda huo nilikuwa nimevaa track yangu aina ya polo na t-shirt nyeupe
nyepesi.
.
. “karibuu Sanaa sabra mtoto wa kitangaa mtoto mwenye shape yako jamanii”
.
. “Hahahahaha!!! Una vituko wewe Jamaaaniii “
Sabra alikaa kwenye kitanda maana chumba changu kilikuwa hakina kiti Wala sofa zaidi ya kitanda na
vitu vingine vidogo vidogo maana nilikuwa ndio nmeanza maisha na Ela nilizokuwa nazipata
hazikunikidhi mahitaji yangu.
.
.
Sabra: “Sogeza bac huo mfuko wa chips James Yani mpaka uzimalize au???”
.
.
James: “mhhh nyie wototo wa kitanga kwa kulalamika tu mmezidi “
.
.
Sabra: “Hahahhaa tunalalamika kote mpaka kitandani tunalalamika “
.
.
James: “mhhhh!!! Na unaonekana upo vzuri mpaka kitandani eeheee???”
.
.
Sabra: “James Mimi Niko vzuri Sanaa Yani siku ukipata bahati ya kuonja penzi langu hutobanduka
nakuambia”
.
.
James: “kwanini isiwe Leo Sasa Sabra mamyyyy”.
.
.
Sabra: Ni wewe tu Sasa mie naanzaje kukukatalia kijana handsome Kama wewe wakati kila mwanamke
anatamani kuwa na mwanaume mwenye muonekano Kama wako”.. ITAENDELEA.
#MAPENZI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom