Available in all digital platforms isikilize halafu leta maoni yako hapa
Personally nimependa sana ubunifu wa Diamond platnumz kutumia current situation pale anasema
"Tena wasipoteze muda kwa...
Moja kwa moja kwenye mada.
Kuna kipindi nakiskiliza muda huu saa 2315 cha muziki, aisee hao watangazaji wenu sijui mmewatoa wapi yani inaonyesha ni ma newbie sana ni dizain kama ya wale...
Wakuu hii nyimbo nitaipata vipi ? "Najua nafsi yako inatamani sana inasubiri ahadi yetu kuwa bibi na bwana,siku zinavyozidi kwenda dhiki inazidi tuandama na lengo letu linazidi kushindikana...."...
Kwanza nimeshindwa kuamini nilipo iona hiyo clip kwa mara ya kwanza Maana mkono wa huyo mama unatereza juu ya nyuzi za gita kama moja ya mikono ya wale viumbe walioumbwa pamoja na lusifa
Sasa...
Wakuu habari za mihangaiko.
Bila kupoteza muda huyu jamaa naona sasa amekua sana kiakili na anafikiria zaidi maisha naona hataki tena kurudia makosa baada ya kupoteza 600M.
Hizi ni kazi zake za...
Namuangalia idris katika utengenezaji wa filamu bongo, tuseme wazi jamaa anakuja vizuri, kuanzia ubora wa kazi zake DANGA na leo kachia kazi nyingine NDOMU (nadhani ni promo ya condom mpya)...
Sehemu ya 1
Nilitoka kazini nikiwa nimechoka sana nikaamua kurudi nyumbani moja kwa moja tofauti na siku nyingine ambazo nilipitia hapa na pale nikiwa na lengo la kupoteza muda kabla sijarudi...
Asalaam aleykhum wanaJF,
Tuzo za Afrimma 2020 zinatarajiwa kufanyika mwaka huu, tayari wameshatoa majina ya nominees na vipengele vyote. Kitu pekee nilichokipenda ni jinsi ambavyo wamezigawa tuzo...
Mtoto wa Mwarabu mhamiaji aliyeitikisa Nchi kwa muziki
MOJA kati ya matukio ambayo wakazi wa Morogoro na Tanzania kwa ujumla hawatoyasahau ni kuondokewa na mwanamuziki bora sana kitaifa, Salum...
KINU CHA MAMA
Mussa N. Abubakari
UTANGULIZI.
Hii ni bunilizi tu. Usijaribu kugeuza maoni kuwa ukweli na kuharibu maisha ya watu.
ZINDUKO;
Moja ni jibu,
Ngono hutibu.
1. Romantic Star
Alishuka...
Kama nimkongwe fatilia biti alotumia Harmonize kwenye wimbo wake wa jeshi utasikia biti moja kali sana linasikika ambalo alishawahi kulitumia Chege na temba kwenye wimbo wao wa twenzetu kasoro ye...
Your can be a soldier without combat and army, be a soldier in your destiny, be a soldier to your carrier and have fun being a self soldier. Myself iam a soldier in my position as musician...
Wakuu wanaofahamu naomba kufahamishwa tafsiri ya wimbo KIJITI wa Marehemu Bi kidude. Baadhi ya maneno ni
"Tazameni tazameni alivyofanya kijiti, kumchukua mgeni kumchezesha foliti, kenda nae...
Leo Dunia inaadhimishwa Super Human Day ambayo ni siku maalum ya kuwatambua watu ambao ulemavu haujawazuia kufanya mambo makubwa kwenye jamii.
Embu Kama Mwana Jamii Forum Embu Mtaje Mtu Mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.