Movie ya 6 Underground

Movie ya 6 Underground

Johnny Sins

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
2,536
Reaction score
3,885
Image may contain: 6 people, people standing and shoes






..Alikuwa shahidi wa horrors of a brutal regime kwenye taifa la Turgistan..aliona asichopaswa kukiamini...

..Hakupenda mauaji ya kikatili waliyofanyiwa wasio na hatia kwenye nchi hiyo...ila angefanya nini!!.

..neodymium magnets system ilitengenezwa kwenye himaya yake..utajiri ukamtaka radhi..akaheshimika kama mtu anaejua mahitaji ya watu wa hali ya chini..

..ni complete billionaire and philanthropis..ana pesa za kutosha na anasaidia watu hata wasipotosha...

..hilo likawa jukumu lake la kwanza..kabla hajatengeneza hili la pili..

..Ndio..ryan reenolds akajipa kifo cha uongo..ili aishi maisha ya ukweli..

..Kwa kutumia utajiri wake alizunguka alipopataka kuwachukua watu wasiojitaka....wasiojitaka kwa sababu hawakuwa na cha kupoteza duniani..

..Wao waaliamini katika kuhatarisha maisha tu...akawakusanya akawaahidi kuishi vizuri ila wamsaidie kwenye hili!..

..Ilihitajika adondoshwe madarakani kiongozi dhalimu wa Turgistan..na njia pekee ya kulifanikisha hilo ni kuwa na watu wenye ufundi wa fani zisipongua sita...

..Yeye kama tajiri na masterminds wa mchezo wote...ryan reenolds akajiita one..mpelelezi mmoja anaeijua kazi yake vizuri akawa two..

..Muuaji mwenye medali sniper aliwambiwa we ni three..parkour runner na mwizi mzoefu akachukua four..

..Dokta na sayansi ya umiliki wa mwili wa binadam..akapewa five..dereva mwenye laana mbele ya sterling akaambiwa we ni six..

..Ni six underground vigilante squad...ndo waliamua vita ya kitabaka iliyopiganwa kwa mchanganyiko wa silaha za moto na silaha za kimaumbile..

..Timu ilitimia kila idara..ikakutana na watu wanaojua matumizi ya idara zao pia..

..Wanasema hakuna mtu anaeweza kuiokoa dunia!..hawajakutana na huyo mtu bado..

..#One of da best mixer genre movie ever#
..#six underground




Credt: Kaisal Ally
 
Mi niliicheck nikaona kama inazingua hivi kumbe ni kali ngoja nirudi tena niipakue nione mzee wa Dead pool alichofanya
 
Mi niliicheck nikaona kama inazingua hivi kumbe ni kali ngoja nirudi tena niipakue nione mzee wa Dead pool alichofanya
Halafu hawa watu wapo mapacha nini?
Kamuangalie Boyka, huyu wa Deadpool na yule wa Batman kama wanafanana hivi.
 
Back
Top Bottom