Huu Wimbo umenifurahisha

Huu Wimbo umenifurahisha

Umenimalizia mb zangu bure maskini bora nkejua nisingedownload
 
Sijui nani kaimba huu wimbo natamani kujua jina lake maana sio kwa nondo hizi
View attachment 1537725

NADHANI KAIMBA ROMA

Tatizo kubwa ni ujinga wa walio wengi akiwemo Rais Magufuli mwenyewe. Tatizo kubwa pia hawataki kujifunza. Chura ndani ya dimbwi hudhani ni ziwa. Watoke nje, waende Nairobi tu watajiona KUMBE DAR ES SALAAM wamekuwa wakiishi kwenye zizi la ng'ombe. Yaani vi daraja 2 tu makelele dunia nzima. Huu ni ushamba kweli kweli. KIJANA ANAYEMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI HANA AKILI ANAPASWA KUELIMISHWA.
 
Ukweli mchungu
 
tuseme ukweli, huyu msanii katulia kweli, wimbo una mziki na sauti nzuri. Ila ujumbe wake hatukubaliani nao!
 
Dah, yaani nacheza huu wimbo naurudia, nacheza kisha naurudia
Msanii kayatendea haki maudhui ya kisiasa haswa ya kupinga dhulma na ukandamizaji ndani ya nchi!
 
Back
Top Bottom