Ijumaa ya tarehe 18 mwezi huu wa 9 inatarajiwa kutoka Album ya mwanamuziki nguli kutoka nchini marekani, Alicia Keys. Album hii itakuwa ni Studio Album ya 7 kutoka kwa mwanamuziki Alicia Keys...
Habari zenu wakuu bila shaka mpo fresh kiafya.
Kwa wale wataalamu na wenye ufahamu kuhusu muziki naomba mje tusaidiane hapa kidogo ni hivi.
Wanatumia kigezo gani kusema nyimbo flani imekuwa...
Jamaaa namkubali Sana'a Sana'a anainspire vijana wengi but mbona kama anafifia hivi, ngoma hiz tatu zilizotoka hivi karibuni mbili akishirikishwa
Nyie mnaonajeee
Rapper wa Kike Rosa Ree amefanikiwa kuwepo katika orodha ya wasanii wanaowania tuzo za AFRIMMA Mwaka huu,
Amechaguliwa kuwania vipengele viwili ambavyo ni
Mwanamuziki bora wa kike Afrika...
..Alikuwa mtaani..ndani ya orleans..hakuijua kula yake kama maskini wengine wa pale...akayakubali hayo..akayaishi maisha yake..
..Douglass binder..pamoja na hali yake ya kukosa mahitaji...
Sio maujanja kama wanadada wa vyuoni kusoma mchana wanafanya uchangudoa jioni
kisha wana-act kama virgin in the morning
Ili picha uipate ficha flash wasiione
Wengi hawa graduate na A wana...
Mwandishi: Badi.M.Bao
Baruapepe:badi.bao11@gmail.com
Riwaya zake mtaani: "CABO-DELGADO' na "MSAKO MWEHU"
SEHEMU-01
SURA YA KWANZA.
Ilikuwa ni adhuhuri mwanana, ikichagizwa na upepo wenye kasi ya...
MHESHIMIWA THE DON
DAVID NGOCHO SAMSON
~1~
Geofrey Mtemvu alikulia katika familia yenye uwezo ya Mzee Ally Magubi Mtemvu baada ya wazazi wake kumtelekeza kwa kukosa uwezo wa kumlea. Alichukuliwa...
Wana bodi habarini...?
Hili naliona kutokana na WASAFI TV, kuja kwa kasi na kdhihirisha kuwa ndo redio pendwa currently, kwa kuwa na vipindi vya Moto kama BIG SUNDAY LIVE,booonge moja la kipindi...
Habari ndugu na marafiki,
Wimbo mkali sana bado upo jikoni unasukwa vilivyo na Msanii: EllySkyWilly
Hiki hapa ni kionjo chake tu.
Pia unaweza kuusikiliza youtube kwa mbaliii upate walau...
Wadau hebu tujuzane je hizi studio na nyinginezo zimeishia wapi?
1. Wananchi video Production
2. Silk production
3. 2 eyes production
4. Sofia Recordz
5. Pasu kwa Pasu Recordz
6. n.k n.k (ongezea)
✓kutokana na wadau wengi kuiponda album ya Burna Boy, na wengine kwenda mbali na kusema Ina bebwa na promo kubwa ya P. Diddy na was sio nyimbo zilizomo ndanibya album.
✓lakini pia Kuna wadau...
TITLE: DOKTA IVO
MTUNZI: JOTO LA MOTO
SEHEMU YA KWANZA
NJE-KUNDUCHI BEACH HOTEL-KWENYE BWAWA LA KUOGELEA-MCHANA.
KAZI, kijana mtanashati, miaka 35,akiwa amevalia bukta ndefu ya bluu iliyobana...
Habari wapenzi wa burudani nimeona nilete kwenu hii issue nimetizama movies nyingi kiasi zikiwemo za hbo huko mambo ni mazito kidogo yaani ukiwa unacheck movies zake inabidi uwe peke yako au uwe...
Habari za muda huu wakuu..I hope mko poa..
TVE wana kipindi kinaitwa "Za Leo", hiki kipindi ukikiingalia Content yake au entire Idea inafanana na ile ya Kipindi cha Refresh kinachorukaga Wasafi...
AFRIMMA imetoa list ya wanamuziki wa kupewa tuzo mwaka huu; mojawapo ni artist of the year. Sasa mwanamuziki Master KG wa south Africa, wimbo wake wa Jerusalema ni maarufu sana duniani kote sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.