Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,520
- 2,059
Wana bodi habarini...?
Hili naliona kutokana na WASAFI TV, kuja kwa kasi na kdhihirisha kuwa ndo redio pendwa currently, kwa kuwa na vipindi vya Moto kama BIG SUNDAY LIVE,booonge moja la kipindi.
Hasa vijana, wameonekana kunielewa hii WASAFI TV yaani hawaambiliki wala kukamatika. Na hii inatokana na clouds tv kukosa content nzuri hasa wanazopenda vijana. mfano, hawatoi taarifa zozote kuhusu WCB na burudani kwa ujumla.
N. B:Ni maoni yangu na sio lazima tukubaliane, but soon naliona anguko la Clouds tv(That rise of WASAFI TV and fall of Clouds tv).