Diamond Platnumz - ONGEZA mbayaa sana!

Diamond Platnumz - ONGEZA mbayaa sana!

kevoDK

Senior Member
Joined
Dec 20, 2018
Posts
152
Reaction score
78
Jamaaa namkubali Sana'a Sana'a anainspire vijana wengi but mbona kama anafifia hivi, ngoma hiz tatu zilizotoka hivi karibuni mbili akishirikishwa

Nyie mnaonajeee
 
Jamaaa namkubali Sana'a Sana'a anainspire vijana wengi but mbona kama anafifia hv ngoma hiz tatu zilizotoka hv karbun mbili akishirikishwaa

Nyie mnaonajeee
Covid -19 mzee baba,ili gonjwa limevuruga ulimwengu.lazima afifie kidogo kwasababu Dimond ni mwanamuziki( taasisi )wa kimataifa hasa upande wa burudani ya muziki.
 
Jamaaa namkubali Sana'a Sana'a anainspire vijana wengi but mbona kama anafifia hivi, ngoma hiz tatu zilizotoka hivi karibuni mbili akishirikishwa

Nyie mnaonajeee
Hv wewe unaufahamu muziki?,au ndo ile uko timu fulani kwahiyo umeamua kuongea ili kujipa moyo
 
Back
Top Bottom