Wanatumia kigezo gani kusema nyimbo fulani imekuwa Gold au Silver kwenye nchi fulani?

Pass Master

Member
Sep 18, 2020
94
58
Habari zenu wakuu bila shaka mpo fresh kiafya.

Kwa wale wataalamu na wenye ufahamu kuhusu muziki naomba mje tusaidiane hapa kidogo ni hivi.

Wanatumia kigezo gani kusema nyimbo flani imekuwa Gold,silver kwenye nchi flani. mfano

Come closer ya Wizkid ft Drake ni Gold in U.S.A, Canada hiyo hiyo Come closer ni Silver in U.K kivipi?

La mwisho ni kigezo gani kinafanya nyimbo ifikishe mauzo ya Platinums kwenye nchi flani au Album kufika mauzo ya Platinums.

Karibuni jamanu tufahamishane hili.


Forgive Me.
 
Back
Top Bottom