Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,520
- 2,059
✓kutokana na wadau wengi kuiponda album ya Burna Boy, na wengine kwenda mbali na kusema Ina bebwa na promo kubwa ya P. Diddy na was sio nyimbo zilizomo ndanibya album.
✓lakini pia Kuna wadau wamei support na kusema ndo albam Bora ya decade yaani miaka 10 .
✓pia wengine wameenda mbali nakudai jina na lugha pamoja na population ya nchi yao ndo vimembeba lakini album sio nzuri kivile.
✓Na pia wamediliki hata kumlinganisha na kijana mdogo Fireboy DML na album yake la LTG kuwa ni kali saa kuliko ya Burna Boy
✓Maoni yangu kwa kuanzia 2020 hakuna album Bora Kama ya Fireboy DML, japo kuwa ni kijana mdogo kwenye game but album yake ni ya moto sana.
✓tumezingatia uzuri wa album na sio ukubwa wajina.
Mtizamo
LTG by Fireboy DML>TWICE AS TALL by Burna Boy
Karibuni kwa maoni
Kigom@