Nimeangalia wimbo tajwa happ juu kwenye Channel ya EATV nikiwa makini kabisa kujaribu kuelewa ujumbe wa msanii lkn nimetoka kapa kabisa. Jamaa kwa mafumbo ni balaa.
Najua kuna wataalamu wa fasihi...
Niaje wanyakwezi
Moja kwa moja kwenye mada nimekuletea mjadala hapa tufunguke nani mnyama wa mumble na caption lyrics kati ya hao wawili, binafsi kwangu Gunna anajua kuliko Baby , fact zipo...
Album ambayo imesubiliwa sana na mashabiki zake na ilipikwa muda mrefu sana hapa namzungumzia Star Boy Wizkid. Kupitia I.G yake Wizkid anatuambia Mwezi wa 10 anaachia Album kama inavyoonekana hapo...
Huyu mdada aliigiza uhalisia hadi kero.
Ila Hii filamu pamoja na nyingine ya the exorcist ya miaka ya 70 zimenifunza mengi.kwa yeyote aliyeziangalia hizi filamu nikiri haukupoteza muda wako.
Kwa wapenzi wengi wa story book nadha mlighadhabika sana kipind,Kijana mwenye Sauti ya dhahabu Mtiga Abdallah alipofutwa kazi Wasafi Fm.
Mimi nilkua moja ya watu nilio mind sana na nilikua...
Wadau,
Netflix huwa wanatoa different contents according to location. Walioko USA hawawezi pata same contents kama aliyepo Tanzania. Kuna show ziko restricted according to location.
Nikitumia...
James Bonds pitted against each other in viral videoBy Mike Krumboltz | Movie Talk 6 hours ago
(AP Photo/File)We all know James Bond is unkillable. He's survived explosions, deadly top hats, a...
Katika pita pita yangu youtube nikakutana na nyimbo za wasomalia asee ni nzuri mno japo sielewi waimbacho ila nimependa nyimbo zao kuanzia melody,beat,uvaaji na sauti
Hizo apo ni baadhi ya nyimbo zao.
Mzuka,
Bado najiuliza huyu mwamba wa Country Alan Jackson alinipitaje nisimjue vizuri na kupenda nyimbo zake muda mrefu huo wote?
Huyu mwamba ni hatarii Aisee. Ana nyimbo kali sana za country...
Mambo vip wakuu, natafta platform, link or club yoyote ya wapiga vyombo vya mziki(Guitar) apa DSM ambayo may be watu hukutana hata once(weekend) kwa week kupractice. Nina Acoustic Guitar ila...
Wakuu wana JF,
Hii nyimbo nivute kwako ya Diana Nyange ft Barnaba ni nyimbo nyepesi sana kwa masiko ya kawaida! Lakini kimapenzi huu wimbo una kumbukumbu nyingi sana kwa wengi!
Wewe una...
kila siku natamani kwenda hii sehemu naiaikia saana, mwisho wa mwezi huu Mshahara ukitoka nataka nizame huko, naomba mwenye kujua napanda gari za wapi nashuka wapi, jinsi ya kufika naomba kujuzwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.