Kuna rekodi kuvunjwa haiwezekani kabisa

Kuna rekodi kuvunjwa haiwezekani kabisa

Harrykany

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2019
Posts
645
Reaction score
704
Sweswe,
FB_IMG_1574407477630.jpeg
 
😂😂😂😂😂uyo Sweswe katisha.......nacheza mpira lakini sijavunja rekodi hio😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uyo Sweswe katisha.......nacheza mpira lakini sijavunja rekodi hio[emoji23][emoji23][emoji23]
Sielewiii alikua anachesa namba ngap? Na hiyo mechi walitoka ngp ngp
 
Sweseswe noma angekua bongo halafu ingekua game ya simba na yanga tungesema ndio kabeba mikoba siku hiyo!
 
rekodi ziko nyingi kama rais wa nchi aliweza kuzindua ukuta wa mgodini ni nani awezaye kuvunja hiyo rekodi?
 
hiyo namba 2 ni nouma[emoji23][emoji23]
 
Hiyo ya Messi EBH ataivunja msimu huu kama hatapata majeraha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom