Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,638
- 130,434
Merry mtoto wa mzee juana kitambo tunajuana, sio juzi wala jana hatujawahi kuzinguana....Zaidi ya kuniamsha hari yakuzidi kufanya...
pindi napo kuchambua hakuna nachotoa zaidi ya mbegu jinsi upendo ulivyo stawi, una harufu nzuri na unawakera wachawi...unanipa maujanja yanayofanya watu hawakai....
Napo kunyonga nyonga zako zinanyongeka, navyokupiga denda pafu zinaongezeka....
Merry upendo wangu kwako hautazeeka, nikikuacha nitafeli maana juu unanipeleka...
Nimekuwasha na umeweka moto wamapenzi, nikikuvuta unakuja kuni enzi....
Mimi na merry toka enzi, wazee mnajisumbua kututenganisha hamuwezi....
Merry, merry juana, nakupenda sanaa...
Sifa zako hazitoshi, kuzieleza kwenye tenzi....kikubwa uko tofauti na mashosti....
Bwashee mi ni mangi na merry anatoka moshi, ona tunavyoendana mpaka pozi..
Yule tozi aliyekutaka, ukamkataa sasa yuko milembe amedata..
Watu warika zote bado wanakufata, nahisi wanakutamani kwasababu unawaka...
Mavazi yako meupe yanaashiria usafi, na mashada uliyonayo ndio yanayo zidisha nakshi..
Nakupenda kwa dhati, kwakua umenifunza kuogopa uoga ndo mana sina wasi..
Sikuachi japokua wanasema mengi, najua wanakuchukua kwasababu hawakupendi...
Wanaokusema kwa mabaya hawakuwezi, mi najua uzuri wako kwakua nipo ndani ya penzi...
Merry, merry juana, nakupenda sana
Japo uhusiano wetu hawaukubali, hasa wazazi ambao ni serikali..naamini ipo siku itakua halali, mahakamani sio faini tena ni mahali...
Makondeni i see you. Kinya wa mistari
Written by Scars
It's Scars