Ama kweli penzi jamani huwa halipikimi....hata ulipime kwa mzani gani(kama sijasahau na kukosea)
punguzeni
Kipindi hicho zaidi ya robo tatu ya watanzania tulikuwa hatujui hata hilo neno TISSnchi wakati ina heshima na adabu,hapo Dudumizi(rip)akiongoza safu ya uimbaji,pembeni hapom yupo Wanted(rip),yeah nhe udongo huu why umemeza watu wazuri na wema?kipindi nchi haina watu wasiojulikana,nchi ipo peace na ni kipindi ambacho TISS ilikuwa very powefull ila inafanya kazi ya kisheria,sio kisiasa.kwanza jina lenyewe la TISS lilikuwa ni siri kubwa sio upuuzi huu wa sasa.
Mkuu kuna mmoja unaimbwa hivi “ aaeee bibieee jambo moja nawaomba ngoja niseme acheni nifanye wivu kwa wangu kipenzi...... bila wivu watajuaje kama kweli nampenda aauuu vipiiiii”........... kama unao nauomba
Sent using Jamii Forums mobile app