Best Korean medical drama you must watch

Oct 16, 2020
27
75
Drama za Korea zimegawanyika katika theme mbalimbali ambazo zina deal moja kwa moja na maisha yetu ya kila siku. Kutuelimisha na kuburudisha pia. Drama za Korea zimegawanyika katika genre tofauti kama vile

MEDICAL, FAMILY
LAW, SCHOOL, CRIME, SAGEUK, ACTION, COMEDY, ROMANCE, BUSINESS, ROMCOMS, MELODRAMA.
Siku ya leo napenda nkutajie drama bora za medical.

MEDICAL DRAMA ni zile tamthiliya zinahusu mambo ya madawa, matibabu na kwa asilimia kubwa location zao hua ni hospital.

HIZI NDIO BAADHI YA MEDICAL DRAMA BORA KABISA.

1. DOCTOR STRANGER
2. GOOD DOCTOR
3. DOCTOR CRUSH
4. HOSPITAL SHIP
5. D-DAY
6. EMERGENCY COUPLE
7. OBSTETRICS &GYNECOLOGY DOCTORS
8. YONG PAL
9. BLOOD
10. MEDICAL TOP TEAM
11. LIFE
12. A POEM DAY
13. BEAUTIFUL MIND
14. ROMANTIC DOCTOR TEACHER KIM (season 1&2)
15. IT'S OKAY THAT'S LOVE
16. FAITH
1 7. KILL ME HEAL ME
18. TIME SLIP DOCTOR JIN
19. SIGN
20. CROSS
21. DESCENDANT OF THE SUN

Hizo ni baadhi tu siku nyingne ntakuja na list nyingne thank u so much guys
 

Proved

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,166
2,000
Hiyo ' good doctor' niliipenda mno. Ngoja nijaribu kutafuta nyingine nikipata muda.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom