Nini...Tena Mbona umenishtuaAallaahhuu AAkkbbaarr
Nimeona Umesema Mungu Mkuubwa..Sasa nikawa Naangalia na mazingira yenyewe ...
Mke wake nelisa au!?Yule mpenzi wake wa Kikenya kule Insta kajirekodi akiucheza. Wimbo umetulia 👍🏽
Wapi nimesema hivo?Nimeona Umesema Mungu Mkuubwa..Sasa nikawa Naangalia na mazingira yenyewe ...
Ngoja nikimbie insta mara moja😂Yeye huyo anacheza kwa furaha kubwa na kausifia wimbo.
Moja kati ya wasanii naowakubali kuanzia Muonekano,uimbaji,Self respect. Japo nowdays anaanza kua kama vijana wa wcb kupenda kick
AnelisaMke wake nelisa au!?
Kwa kweli bi Mdogo wangu,ila watoto Wa kishua Wa kikenya hawajichanganyagi na watoto Wa mitaani.Nimekuta wifi anarukaruka tu hata kucheza hajui....#gubulawifi
Ustaadh



Ustadhi Ben Paulo...jina lake la kusilimu nae Ni Rashid Kama Gwajima?