Hii inahusu wanamuziki na hasa wale maarufu

Hii inahusu wanamuziki na hasa wale maarufu

Jaylee

Member
Joined
Apr 15, 2009
Posts
66
Reaction score
96
Wanamuziki, kwa nini wanapenda kuvaa miwani ya jua muda wote, hata kama hakuna mwanga mkali, wanaficha nini?

Wenye kujua wanielimishe
 
Kutojiamini ndio tatizo kubwa naona

Wengine kuiga , wengine swagger/fashion, wengine ushamba
 
Kwa sababu wakinywa maji wanakuona kweye glass!!! Na ukinywa soda wanaiona ile kwenye koo inapita
 
Back
Top Bottom