Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Habar ndugu wana JF,bila shaka tuko pamoja katika swala la burudani,ebu tuhamie katika nyanja ya burudani za cinema hasa zile za kitambo kidogo kwani,cha kale dhahabu hii imejidhihilisha katika...
2 Reactions
143 Replies
27K Views
Ni kuwa tunaukike au ni nini? Waimbaji kama Q chief, Zed Anto, Voice Wonder, Alikiba, Diamond, sijui nani the prince, oliver ngoma, Muumin Mwijuma, Waziri Sonyo nk ndiyo wanakubalika sana. Watu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimeiangalia hii clip ambayo huyu dada amefanya "cover" kwenye sauti ya mchungaji mgogo, aisee huyu dada ana kipaji cha hali ya juu! Hii performance aliyoonyesha hapa ni kiwango cha hollywood 😂😂...
2 Reactions
65 Replies
6K Views
Kondeboy juzi kafanya booking o2 arena. Sababu ni AFROEAST album. Humo ndani kuna nyimbo kwangaru ambao ndo wimbo mkubwa kuwah kutokea tz haufikiii. Yaani kuna hits songs hataree. Ikitoka hii...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Wiki hii nilipata nafasi ya kuangalia movie pamoja na series mpya kutoka NETFLIX ORIGINALS. Hizi zote wameziandaa wenyewe; EXTRACTION (Movie) Hii imejipatia umaarufu mkubwa sana kutokana na kuwa...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Nawasalimu kwa jina La JMT, Harmonize kiswahili ni lugha tajiri sana hususani kwa watu wenye mahusiano ya kunanihii, mmeshaelewa kila wimbo Harmonize lazima kumuita mpenzi wake baby, kila...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
Habari za weekend wakuu. Bila kupoteza mda naomba kujulishwa majina ya movie kali hasa zinazoelezea historia ya kweli either ya mapinduzi au historia tu ya kitu fulani.Pia naomba kujulishwa movie...
0 Reactions
26 Replies
18K Views
Kwa wale wapenzi wa kuskiliza radio hivi karibuni Kama utatembelea Mkoa wa Ruvuma hasa mjini Songea Basi unaweza kufurahia uskivu murua wa kituo hiki kipya Cha radio. kwanza nawapongeza...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu habari ya mapumziko ya sikukuu,natumaini mlio wengi kama mimi tuko nyumbani kwa mapumziko. Pamoja na shughuli za hapa na pale mimi natuliza akili kwa kuitazama movie ya Acts of Vengeance...
1 Reactions
106 Replies
9K Views
Kuna jamaa mmoja anasafiri safiri. Akikuta shule ya Kungfu anapiga wote hadi master. Akiulizwa ametoka wapi anajibu kuzimu na amekuja kuwafundisha kungfu. Alienda shule moja alipiga master na...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Yaani kabla hujaanza hata kuyumba yumba. Nyimbo gani zinakupa burudani ya aina yake moyoni ukiwa baa/club? Kiasi kwamba unaweza kutumia mpaka hela ya nauli au bajeti ya kesho ikavunjwa bila...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums. Ni wimbo gani wa mtindo fulani (Country/R&B) ambao umeimbwa tena kama "Reggae Version" unaupenda sana? Mimi ninaupenda sana...
3 Reactions
41 Replies
6K Views
Nimeona vipande kadhaa youtube na tiktok kwakweli wimbo una mahadhi fulani ninayo yakubali. Naomba kujua wimbo huo watoka lini au kama umeshatoka weka link hapa.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Arnold Schwarzenegger, John Matrix starring mwenyewe...jeshi la mtu mmoja..baba jenny..anorld, umri umekimbia aisee ila bado ni legendary Icon Rae Dawn Chong, Cindy mwanadada aliyemsaidia...
4 Reactions
5 Replies
6K Views
Looking for Promotion my Debut Song at your TV and Radio. [
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Utani pembeni, aisei huu wimbo yaani, hongera imfikie msanii na timu yote maana sio kwa ubunifu huo.
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu Poleni na majukumu ya kujenga taifa Kuna TAMASHA (Event) ninaandaa, na kuwezesha TAMASHA hili kuwa bora kama ninavyotarajia nilikua nahitaji kuomba UDHAMINI kutoka MAKAMPUNI...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Lebo ya Kondegang ilianza Rasmi mwaka 2019 ikiwa na msanii mmoja ambae ni Harmonize baadae akamsajili Ibraah. Leo nawapa mauzo ya nyimbo za Zuchu na Kondegang wote kwa Ujumla. REPORT ZA YOUTUBE NA...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Africa imenyamaza,Macho na akili zinautazama mziki wa Yemi Alade na Tiwa Savage kama Makwin wa mziki wa Afrika.. Hivi ni mimi Naefahamu Ubora wa Mwanamuziki Simi mbele ya Yemi na Tiwa??? Kuna...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom