Old movie share hapa, wote tuburudike

Old movie share hapa, wote tuburudike

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Posts
2,850
Reaction score
2,444
Habar ndugu wana JF,bila shaka tuko pamoja katika swala la burudani,ebu tuhamie katika nyanja ya burudani za cinema hasa zile za kitambo kidogo kwani,cha kale dhahabu hii imejidhihilisha katika matoleo ya cinema za zamani kidogo na za sasa,mimi naamini movie za zamani zilikuwa poa sana tofauti na za sasa,kwani zilikuwa na uhalisia safi na mbinu za kipekee zaidi,sasa basi hebu tukumbushane na tuchangie kuzifumua movie hizo mafichoni za kila categories, drama,action,comedy,horror... N.k..,za enzi izo...
4d65f973c6967b9cca13caab7f4ae118.jpg
...mfano hii war bus bonge moja la action enzi izo...1988-1989

4b44844710e8e94eae39f21e67d8742e.jpg
....rambo noma hii wengi wetu tunaitambua.

9c0122715c7080e2f5c5b18149b40ad0.jpg
...american ninja...hii ilichezwa na michael ddkoff.

Zipo kibao embu tukumbushane tupate kuburudika pamoja.
 
Bridge of dragons,double impact,street fighter,moon raker(james bond),drive,romeo must die inatoshaaaa wahenga wengine waongezee
 
Heroe shed no tears
Derta force 1,2 & 3
Rush hour 1 & 2
Snake on the egles shadow
Drunken master
Brues lee zote
Tai chi
War bus
Terminator 1,2,3
Hard target
The quast
A.W.O.L
Kick boxer
Double team
Double impact
Shadowing in little tokyo
Sodier boyz
Unisal Sodiers 1 & 2
Terminator 1,2 & 3
Predator
No retreat no surrender 1 & 2
Equalizer 2000
 
Back
Top Bottom