Wale wapenzi wa ngoma za Dini kuna hii ngoma inaitwa EKUEME, Ekueme ni neno la ki-Igbo huko Nigeria likimaanisha Mungu anayeahidi, anayesema na kutenda ni spirit song nzuri sana ukipata na video...
Wakali wa series mje na vyuma vikali vya moto hapa jf amkosekani tupeane.
Izo chini nsha zicheki ziko poa sana na binafsi nazielewa za mtindo huo zenye mwendelezo na sio za kuunga matukio kama 24...
Inafahamika kama Nunchaku. Wengine wa mtaani wanaiita Cheni (kila mmoja uipachika jina lake kwa namna yake). Tupeane experience na mbinu mbili tatu.
Uliijulia wapi na ulijifunzia/Fundishwa wapi...
Simulizi : ZAWADI TOKA IKULU
Mwandishi : EMMANUEL VENANCE
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
Sehemu ya 1
Ni jumapili tulivu sana ambayo imejidhihilisha tangu jua linachoza, kwani hakukuwa hata na...
Wale waliokuwepo kipindi hiki au wanaopenda kusikikiliza aina ya miziki ya 60's, 70's, 80's na 90's basi huu ndiyo uzi wenu maalumu. Miziki ya aina hii huwa inanikumbusha miaka ya utoto wangu...
Habari za muda huu wanajamvi, ni muda sana nimeitazama movie hii ya tabia kama kichwa cha thread kinavyosema. Nimepata changamoto katika kudownlod kwani youtube haipo kama kuna msaada niweze kuipata.
HABARI WA KUU NIMEIPATA HII TAARIFA JUUJUU TU WANADAI ETI WAMETOA USHURU WA ONLINE TV KWA WANAO UPLOAD CONTENTS TOFAUT NA HABARI.LINAUKWEL WOWOTE HILI SWALA MWENY DETAILS KMA ANIJUZE MNA NTKA...
Hivi kuna burudani zaidi ya hii kwenye muziki? Halafu mtu atashangaa kwanini sipendi hizi takataka za Dabliyusibii! Af anatokea kenge mmoja anasema sikuhizi kuna mziki? Noorah was a pure talent...
Najua maisha yetu yamejaa moment nyingi za stress..kuna wakati kwenye siku yako unahitaji utulivu sana.
Najua tupo wengi ambao tunatumia nyimbo kujifariji.
Tupa nyimbo zako tatu kali ambazo...
Leo nilikuwa zangu Gheto nimepumzika nikaona bora nipige playlist zangu mbili tatu za kitambo nikumbuke Enzi
Aiseee kama bahati hivi nikajikuta nimeitupia ngoma ya Ngwair na Mchizi Mox ya kuitwa...
Bruno The Fisherman (Mvuvi Bruno)
Mtunzi. Nyemo Chilongo
Epsod 1
Hali ya hewa angani ilibadilika ghafla, jua kali lililokuwa likiwaka lilifunikwa na mawingu mazito ya kijivu yaliyokuwa yametanda...
MAMA MWAJEY
HAIKUWA siri kwamba maandazi anayouza Mama Mwantum hayakuwa na tofauti yoyote ya maana pale mtu angeyalinganisha na ya wenziwe.
Tangu unga anaotumia, mafuta anayokaangia mpaka meza...
Nimetoka Kusikiliza Nyimbo za Wasanii Wakubwa Watatu wa ' Singeli " hapa Tanzania nikajuta hata kwanini nilifungulia hiyo Redio ambayo TCRA nao wana Wajibu wa Kuisimamia.
Maudhui ya Kimatusi ya...
Wakati wa Uvamizi wa Benkii nchini fulaniii majambazi waliwaambia kwa sauti watu waliopo Mule benki "Musisogeee hata kidogo maana Pesa ni mali za serikali ila uhai wako ni ni mali yako "
Basi...
MZIGO USIO NA ANUANI
Sehemu ya 01.
Dar es Salaam, Saa 8:36 Usiku.
Mlio wa simu ndiyo uliomshtua Ashrafu Maganza kutoka katika usingizi mzito. Mwili wake ulichoka kutokana na kuchelewa kulala...
Ni Miaka Minne sasa imepiita, toka kifo cha mwanamziki huyu ambaye alikuwa na mvuto wa kipekee atutoke .
Jean de Dieu Makiese (Madilu Mult System) alifariki tarehe 11.08.2007, huko kinshasa, akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.