Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Habari za leo wakuu, Katika cover zote ambazo nimewahi kuzisikiliza basi hii ndio cover nzuri kuliko zote hapa bongo.
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi ni mkatoliki. Kuna kwaya huwa inanikosha sana hapa Tanzania. Ni kwaya ya mtakatifu kizito parokia ya mtakatifu mwenye heri anuarite iliyoko makuburi Dar es salaam. Kwa kweli ni kwaya ambayo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumaini mu wazima: nisaidie tafsiri ya nyimbo zake zifuatazo. 1. ECOLE 2. ALLO TELEPHONE.. Hata kwa lugha ya kiingereza ingenifaa. Najikuta kupenda kuzisikiliza... Nisaidieni nijue yaliyomo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kionjo.. ...... USIKU WA MANANE AMBONI TANGA Eneo la miamba yenye mapango ya kihistoria jijini Tanga jirani kabisa na mto mkubwa Tanga nzima uitwao mto Sigi kulikuwa kuna kundi la...
2 Reactions
44 Replies
22K Views
1 Hades Awaits,Heaven Awaits,The Choice is made, Oh heaven and hades,make peace with each other For the choices to make are complex The losses immerse 2 Hades Awaits,Heaven Awaits-The Choice is...
0 Reactions
1 Replies
461 Views
Naomba kufahamishwa app nzuri ya moja ya tv zetu ni nzuri kwa kuangalia tv kwenye simu,app nyingine hata hazieleweki unapoteza mb kudownload lakini unakuta zinasumbua.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ukiangalia picha za TBC ni kama picha zaoni kati ya 144p au 360p je ni kwanini picha zenu siyo HD kuendana na technologia ya sasa!
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaaam wakuu, Nimekuwa nikisikiliza mziki wa bongo flava kuanzia enzi za takeu ikaja kiduku, ikaja ngololo hadi kufikia mpelekee moto. Ukweli ni kwamba hapo nyuma walianza vizuri kwa upande wa...
24 Reactions
121 Replies
13K Views
Mpaka sasa toka asubuhi nacheki hii movie lost nipo ep ya 88 sijala na wala sisikii njaa ,... Bonge LA season
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kama mada tajwa isemavyo....ni Ngoma gani zilikubamba Sana zamani kipindi hiko music ulikua music kweli, binafsi me nakumbuka Ngoma moja la daz nundaz Barua, Mandojo&Domokaya Dingi, Dully Sykes...
1 Reactions
25 Replies
9K Views
Artist: DJ Snake & Selena Gomez Title: Selfish Love Genre: Pop Label: DJ Snake Music Productions Limited/Interscope Records Year: 2021 Nadie tiene que decírmelo Hablas con otra que no soy yo Y...
0 Reactions
1 Replies
688 Views
Kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata movie hii ya blacksheep affairs au kwa jina lingine inaitwa another meltdown please naomba anipe au anipe muongozo nitaipataje app nyingi hii movie haipo...
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Wakuu heshima popote mlipo. Naomba mwenye kujua link ya kuipata hii movie. Naitafuta sana angalau nipozee machungu ya kuondokewa na mr prezidaaaa. RIP JPM
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Ukiachilia mbali nyimbo nyingi za maombolezo katika kipindi cha misiba pia nyimbo za faraja na kujenga tumaini jipya ambazo umezisikiliza. Embu jaribu na hii ya DIZASTA VINA - MWANAJUA ALAFU...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wale wahenga njooni huku Kumenoga
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Wadau nataka kujua wale tunaofuatlia mziki wa bongo fleva kuanzia miaka 2010 kurud nyuma ni wimbo gan ulioupenda na uliimbwa na msanii gani ambao hauchuji masikion mwako hadi saiz unaukubali ile...
2 Reactions
103 Replies
10K Views
Kwa tukio kubwa kama hili kuwa na ukimya kama huu kisanaa, hasa kwa nyimbo bora za maombolezo, Pengo aliloliacha Marehemu John Komba inaonekana kabisa halijazibika
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Zifuatazo ni tovuti bora ambazo zitakuwezesha kusoma tovuti bure au kwa gharama 1. Jamiiforums Tembelea tovuti ya Jamiiforums kisha nenda katika jukwaa la Sports & Entertainment halafu...
2 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari wanajamii, Niende moja kwa moja kwenye mada husika Nimebahatika kuangalia vipindi kadhaa vya hii tamthilia ya slay queen ndani ya Maisha magic na nimeshangazwa sana na ukosefu wa umakini...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Haka kajamaa na crew yake very funny Sana , wakenya kwenye Commedy wametuzidi tuwe Tu wa kweli. Huyu jamaa page yake ya insta ukipitia inakuondolea stress aisee. Wabongo now sio wabunifu kabisa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom