Huu wimbo wa injili.....Watanzania hongereni

Huu wimbo wa injili.....Watanzania hongereni

Utani pembeni, aisei huu wimbo yaani, hongera imfikie msanii na timu yote maana sio kwa ubunifu huo.





Video not available on YouTube

Screenshot_20190401-203155.jpeg
 
Huu wimbo kuna mdada na yeye ameuimba anaitwa natasha alibadili dini. Ameuimba vizuri zaidi kuliko goodluck. Ni mzuri
 
Back
Top Bottom