Kuna watu wanapendezea mziki kwakweli.
Tuache ushabiki wa kizuchu
Kikonde gang
Kikiba
Au mondi
Ukweli
Leo supa musician ni PR J .
Utaniambia nini!?
Ninaushahidi kama taulo la guest!
Eti wewe...
Habar wadau
Kuna mambo huwa yanachekesha sn ukiyafuta wachambuzi wa filamu ukimwambia akutajie movie bora 2020 atakuambia siji wonder woman 1984 mara sijui bloodshoot na movie zengine za ajabu...
Kwanini isianzishwe hapa Bongo Channel itakayokua inaonyesha Movie za action tu za kimataifa 24 hrs kwa quality ya HD?
Iwe ni channel inayoonyesha movie kali za actions tu movie zinazofanya...
Mwanamuziki King Giovann aliyewahi kupitia bendi kadhaa kama FM academia na Chuchu sound amefariki dunia. King alikuwa mahili katika ucharazaji wa gitaa la solo amefariki ghafra muda mfupi...
RIWAYA; KUTA ZA DARFUR.
NA; BAHATI K MWAMBA.
SIMU; 0656741439/0758573660.
1:
Alikuwa akikatiza katikati ya mitaa ya jiji la Dar Es laam akiwa amening'iniza mfuko...
Nimesikiliza nyimbo za maombolezo za msiba wa John Pombe Magufuli zaidi ya 100
Msanii wa pekee alieweza tengeneza HIT ni PETER MSECHU.
Katoa melody (ala) ya pekee na mashairi safi yanafariji...
Nimeuanzisha huu uzi tushee changamoto ambazo mnakutana nazo katika hii channel ya Netflix lakini pia najua wengi wenu mngependa kujiunga na Netflix Ila hamna hela ya bandle.
Sasa nimewaletea...
Simulizi : ZAWADI YA USHINDI
Mwandishi : BEN R. MTOBWA
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
Sehemu ya 1
SHANGWE na vigelegele ambavyo viliutoka umati huu mkubwa vilipaa hewani na kujaza anga lote...
habarini wanajamvi! poleni na misuko suko
moja kwa mojaa kuna wimbo nimeshindwaa kupata jina au lyrics yake, umeimbwa na msaani kutoka mwanzaa.
baadhi ya lyrics zake,
"jitunze mke wangu...
Ni kweli sina mpenzi na sipo kwenye mahusiano, mimi ni binti mdogo nina miaka 19 sitakiwi kujihusisha na hayo mambo, siwezi ku-control mapenzi na kazi kwa wakati mmoja kwa hiyo itabidi nipige...
Kevin De Bruyne amemaliza dili la kusaini mkataba wake mpya wa kuendelea kubaki katika kikosi cha Manchester City chini ya kocha Pep Guardiola ambapo mkataba wake ameongeza hadi ifikapo April 2025
Upepo wa vuma twainama
Twainama hatuvunjiki
Mwalimu akisema ye hasikii
Mwenye nyimbo hii na Hadithi yake atupie hapa.
Jogoo wa ajabu..
Machaku na njiwa...
Sungura na fisi
Sitaki mbichi hizi...
Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz amepiga hatua nyingine kubwa katika kazi yake ya muziki.
Diamond kwa jina halisi Naseeb Abdul amekuwa mwanamuziki wa kwanza kusini mwa jangwa la sahara...
Inafaa kunena, inafaa kunena labda ni muhimu sijui, labda kusimulia si karama kama wanavyo sema
Ikiwa msimuliaji huingia hatarini, labda kweli baraka ni laana njema
Wasikilizaji naskia wana...
Sina hakika huu wimbo ni wa lini, ila kwa video nimeona kama ni wa kipindi kile cha ajali ya wale watoto wa sekondari Arusha. Pamoja na hayo, hiyo sio mada yenyewe.
Umetokea msiba wa Rais...
Author: Akida S. Rambao
Contact: 0658328596
Email: akidasiri@gmail.com
Naweza sema nilijiona mtu sahihi nisiyekuwa na makosa, lawama nyingi niliziweka kwake. Nilimtuhumu kwa kila tukio...
Wakuu nataka kufahamu net worth za wasanii wa bongo.
Nikimtazama mwanamuziki jux naona msanii mkubwa ndani yake. mwenye kipaji.
Ana pesa kiasi gani na anazipata je, kwa kuimba tu au ana vyanzo...
Eagle Wings Official Trailer
The military-themed movie, a first of its kind in Nigeria, was produced and directed by Paul Apel Papel in partnership with the Nigerian Air Force (NAF) Investments...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.