Hivi ni mimi Naefahamu Ubora wa Mwanamuziki Simi mbele ya Yemi na Tiwa?

Pass Master

Member
Sep 18, 2020
94
125
Africa imenyamaza,Macho na akili zinautazama mziki wa Yemi Alade na Tiwa Savage kama Makwin wa mziki wa Afrika..


Hivi ni mimi Naefahamu Ubora wa Mwanamuziki Simi mbele ya Yemi na Tiwa???


Kuna midundo ya Simi kama..

Jericho ambayo Patoranking alipewa shavu mule ndani..

Joromi,Ayo,Love Don't Care,

Baadae Doyin mule ndani alikuwemo mtu mzima Mr Eazi bonge la hit..


Falz aliwahi kumpa shavu Simi kwenye Mikwaju kama Chemistry,.


Yote 9,10 ni ile kete inaitwa Soldier ya Falz na Simi,Simi aliumiza sana hii inatokana na sauti nzuri aliebarikiwa(Rihanna wa Afrika).


Duduke Mdundo ambao ni gumzo mdundo ambao Simi alifanya vizuri Aliimba sana..

Rudi kasikilize No Longer Beneficial,Na hii EP yake mpya🔥


Naomba ziache zote hizo ngoma tumia dakika 3 na sekunde 50 kusikiliza Ngoma Inaitwa Know You Ni ya mtu mzima LADIPOE FT SIMI🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌


Hivi mnamuelewa Simi???
 

Attachments

  • download (1).jpeg
    File size
    7.9 KB
    Views
    0

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom