Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kiukweli tuache utani mbona naona kama huu wimbo unamashairi mazuri ama kwa kuwa si mchambuzi wa mziki @Ommydimpoz ulikomaa sio mhezo Oh cherie Usione nachelewa Mwenzako nafanya mipango Tupate...
1 Reactions
0 Replies
779 Views
Hivi hawa wasanii wetu hasa hizi lebo mbili kubwa Tanzania nini kina wakumba awawezi kufanya kazi bila kuwa na kiki? Ukiangalia mziki watanzania ulikuwa una kua kwa kasi kubwa sana, lakini hii...
1 Reactions
0 Replies
697 Views
A Grain of Wheat ni riwaya ya tatu na riwaya iliyojulikana zaidi ya Ngugi wa Thiong'o, mwandishi kutoka Kenya .Riwaya hii huchanganya hadithi kadhaa pamoja katika hali ya dharura nchini Kenya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimeipenda hii movie. Inafaa kupotezea wakati. Ila sijapenda Kong kupewa kipigo cha hadi kukaribia kufa kutika kwa Godzilla. Nilifurahi kichapo walichopewa Godzilla na Kong kutika kwa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa yeyeote anayeijua nyimbo za taratibu za huzuni hasa kwenye msiba plzz.. Nahtaji hapa
0 Reactions
29 Replies
48K Views
Ni burdan kwa kweli kusikiliza vipindi kuanzia Joto la Asubuhi mpaka Sports Hq. Wameamua kucheza musiki wa zamani kama kukupoza hivi, yaani raha isokuwa na maelezo. Najua pana wapiga chabo...
0 Reactions
0 Replies
515 Views
Wasanii muachege kutumika vibaya aisee. Haswa nyie wachafu sijui wachafu wa nafsi na team yenu. Yaani mnapewa pesa na maagizo ya watu fulani fulani hivi mtengeneze kiki ili mutoe watu kwenye...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii movie inatokana na kitabu kinachoitwa Dune kilichoandikwa na Frank Albert mwaka 1965. Kitabu kimebase kwenye sayari moja inayoitwa Arakis ambapo kiungo adimu na ghali kiitwacho melange...
2 Reactions
5 Replies
918 Views
Naangalia hapa zaidi ya mara tano kila moja Guys wenzetu wapo mbali sana sana Hizi ni mfululizo wa movie zinazomuhusu captain Jack sparrow zipo tano kinachonivutia walioandika script hawa jamaa...
14 Reactions
62 Replies
5K Views
Kama title inavojieleza ningependa hii thread iweze kutusaidia kupata majina ya movie mbali mbali ambazo tumewai kuangalia, kusikia au kusimuliwa afu ukasahau au kushindwa kujua jina movie husika...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
SISI TULIWAAMBIA, MKATUPUUZIA Unakumbuka kipindi kile ulipokuwa unabishana na watu mtaani kwako kuhusu Diamond na Ali Kiba nani mkali? Sijui nani ana tuzo nyingi? Sijui nani amefanya hivi na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo nmetulia siku nzima naisikiliza hii ngoma ya nenga aka mafioso. Hii ngoma ni kalia sana jamaa kaimba kwa hisia sana[emoji91][emoji119] “Twende na mashairi” Sio, sio kwamba mi nina wivu...
0 Reactions
3 Replies
804 Views
Naangalia kipindi cha ultimate survival kwenye channel 136 Family discovery HD inaonyesha jamaa anavyosurvive kwenye nyika za Africa imefika mahali jamaa kakuta mzoga wa pundamilia katoa kisu...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama unataka kuwa jasusi moja matata huna budi kuifutilia season ya SOZ Bonge ya season mzee nawashauri maafisa usalama wawe wanapata muda w a kufuatlia muvi kama hizi very relevant to the...
2 Reactions
11 Replies
897 Views
Kuna watu wanapendezea mziki kwakweli. Tuache ushabiki wa kizuchu Kikonde gang Kikiba Au mondi Ukweli Leo supa musician ni PR J . Utaniambia nini!? Ninaushahidi kama taulo la guest! Eti wewe...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Habar wadau Kuna mambo huwa yanachekesha sn ukiyafuta wachambuzi wa filamu ukimwambia akutajie movie bora 2020 atakuambia siji wonder woman 1984 mara sijui bloodshoot na movie zengine za ajabu...
5 Reactions
54 Replies
6K Views
Kwanini isianzishwe hapa Bongo Channel itakayokua inaonyesha Movie za action tu za kimataifa 24 hrs kwa quality ya HD? Iwe ni channel inayoonyesha movie kali za actions tu movie zinazofanya...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mwanamuziki King Giovann aliyewahi kupitia bendi kadhaa kama FM academia na Chuchu sound amefariki dunia. King alikuwa mahili katika ucharazaji wa gitaa la solo amefariki ghafra muda mfupi...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
RIWAYA; KUTA ZA DARFUR. NA; BAHATI K MWAMBA. SIMU; 0656741439/0758573660. 1: Alikuwa akikatiza katikati ya mitaa ya jiji la Dar Es laam akiwa amening'iniza mfuko...
5 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom