Huyu dada ana deserve "Oscar" award

TheChoji

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
4,963
15,240
Nimeiangalia hii clip ambayo huyu dada amefanya "cover" kwenye sauti ya mchungaji mgogo, aisee huyu dada ana kipaji cha hali ya juu! Hii performance aliyoonyesha hapa ni kiwango cha hollywood 😂😂 Nampendekeza kwenye tuzo za Oscar mwaka 2021 jina lake liwepo..!
 
Back
Top Bottom