Watalaam na wapenzi wa War Movies/Series

Desire mobutu seseseko

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
975
1,393
Wakuu habari ya Jumapili?

Ningependa kuwapa pongezi wale walipata chochote kwenye teuzi za mama na ambao hatujapata kazi iendelee yote maisha. Msaana naomba uniwekee SERIES ZAKO KALI ZA KIVITA (war movies series)

Nizitatufe nimekua mdau wa hizi movies! nasuburi mrehesho hapa.

Ahsante
 
Kuna series inaitwa PACIFIC humo ni vita ya dunia enzi hizo: US, Japan, UK, Germany etc
Nimeifanyia "tathmini", naona inastahili kuchukua muda wangu. Nilivyoona tu " from the producers of Band of Brothers" ikanipa mzuka.
Nikimaliza tu "Planet Earth", naanza kuicheki hii.
 
Hakuna movie kali ya kivita kama hizi
We were soldiers
Saving private Ryan
Behind enemy lines
Fury
Edge of tomorrow

Hacksaw ridge
13 hours secret soldiers of Bengazi
The last full measure

Seven chinese soldiers (ya zamani)
Full metal Jacket
Tears of the sun
Jarheed
Top gun
1917
Rambo zote 1982-2019
Delta force zote
 
Kama unataka series za vita na mission
Angalia
Strike back
Navy seal team 6
The last ship
The battle ship
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom