Hizi ngoma zinaitwaje nazitafuta sana

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
549
557
Kuna nyimbo moja inapigwa kwenye mahafali sanasana ya vyuo kuna sauti ya mwanadada inasikika akiimba everyday we wanna cerebrate ohoo.. nimegoogle sana mpaka lakin wap msaada anayeifahamu.

Na nyingine hii kibwagizo chake aisha aisha mzee anaimba kwa kiingereza wale wanangu wa flashback msaada hapa

#Loveoldsong
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom