Ndombolo ya Kings

Ndombolo ya Kings

lulu za uru

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2015
Posts
2,742
Reaction score
3,447
Nimeusikiliza na kutazama kazi mpya ya kings Ndombolo Kazi, nzuri ila Kiba kazi zenu mnafanya fanya tu ilimradi. Hii ngoma ni ya kuchezeka pale ilitakiwa mvunjike na hivyo viuno ngoma ni ya kucheza ila hamjacheza kabisa.

Kiba pozi zako kwenye videos karibu zote huwa zinafanana hivi kwann msiige kwa huyo mnayemuita sadala?mwenzenu anajituma ngoma ya kucheza atakinukisha mpaka kieleweke. Nyinyi ni kurusha rusha vimikono tuhu, anyways hayanihusu just a short comment.
 
Nimesikitika sana kuona neno Ndombolo linatumika kwenye wimbo wa kizembe kabisa yaani..Ndombolo OG ya WENGE BCBC chini ya Brigedia JB MPIANA ilikua moto wa kuotea mbali...Ndombolo ilitendewa haki bhana kwenye Masuwa sio Ndombolo ya huyu mfalme wetu jua...kwako GENTAMYCINE
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwimbaji sawa ila uliona kitu harmonize alifanya na Awilo kwenye alllltitudeeeee hahaaa harmonize hajui kucheza ila dancers walimbeba...huyu Kiba namna lolote utaona tu anarusharusha mikono anamwangalia msichana kwenye macho video inakuwa imeisha.each of his videos kuimba anaimba 96% sikatai.
 
Kiba na mashabiki zake wanamchukia Diamond hata bila sababu. Sasa hivi wameamua kumbebesha majina sijui ndio inawasadia nini.
 
Umeonaeee eti sadala hahahaaa sadala wakati wanamuiga kila kitu


We si unaona, katoa bonge la jiwe na Koffi. Haters wamemponda wee, lakini angalia sasa, waliojaribu kumuiga wote wametoa maboko.
Kibongobongo mpaka tuache kuchukiana ndio tutafurahia maisha
 
Kiba na mashabiki zake wanamchukia Diamond hata bila sababu. Sasa hivi wameamua kumbebesha majina sijui ndio inawasadia nini.
Nakusahihisha mkuu Diamond na mashabiki wake ndo wanamchukia Alikiba .
 
Kiba na mashabiki zake wanamchukia Diamond hata bila sababu. Sasa hivi wameamua kumbebesha majina sijui ndio inawasadia nini.
Tunaongelea wimbo wewe umeanza kuleta ngonjera zako
Diamond ndio kaanzisha masebene?
Kwamba wengine wasifanye?
Si yametoka Congo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom