Movie Ya Cruela

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
549
557
Nimeichek hii movie director ameeitendea movie toka kampuni ya disney
estella anazaliwa akiwa na nywele zenye rangi mbili yaani nyeusi na nyeupe miaka inasogea estella anakua anaanza shule ya awali lakini tabia yake ya utukutu inamfanya afukuzwe shule.

Jioni moja estella binti mdogo na mamaye wanaenda kwenye jumba la mwanamitindo maarufu mama ake estella anamwambia estella tulia ndan usijaribu kutoka nje baada ya mamaye kutoka tuh chautundu estella nae katoka kavamia party wacha mmbwa watatu wa baloni wamkimbize anatoka mpqka nje anamkute mamaye na baloni(mwanamitindo mkubwa) wakiteta

Ghafla mbwa wale wanampita wanakwenda kumsukuma mamaye anaanguka kwenye korongo refu estella haamini macho yake baada ya hapo mmbwa wale wanamriwa wamkimbize na mtoto kashikilia kidani lakin anakiangushe kidani kile zawadi aliyopewa na mamaye doh anapata msiba na uchungu mkubwa wamemuua mamaye na kidani kapoteza

Anaingia mitaan anakutana na jasper na kibonge (pick poker) wezi yaan unaibiwa kiufund bila kujuwa na estella anakuwa mwizi lakin ndoto yake kubwa kuwa mwanamitindo estella anaanza kufanya kazi kwa aduo yake baloni kizazaa kinaanza hapo anatokea cruela (estella)

Yaani ipo hivi akivua wigi anajiita cruela anaanza fanya fashion league na balonisasa anakuja kugundua huyo baloni ni mamake mzazi 🙀🙀....

Kwanini mlezi wa estella aliuwa
Kwanini estela ni cruela

Embu tukaicheki hii movie bonge la idea naipa rate 7/10
 
Marekebisho kidg yule mama ni Baroness mme wale alikua Baron sema wale mbwa walikuwa wezi kuna yule ana jicho moja kama Director Fury( Samuel LJ) wa Avengers
 
Back
Top Bottom