Msaada wa majina ya hizi nyimbo au audio zake

MMOJA

JF-Expert Member
Aug 30, 2012
421
250
Habari wana burudani wa zilipendwa,

Kuna nyimbo mbili natafuta Audio zake au jina la wimbo

1. Hii nyimbo siijui "title" yake lakini inaimba:

" Kama wanipeenda, twende kwa baaba,
Akishakuonaa, utoe mahari unioee,
Wanasema niliache rumba, na mimi sikuzoea,
Siwezi acha rumba sababu yako wee"


2. Hii nyimbo naomba audio yake,
Imepigwa na Msondo Ngoma Music Band, inaitwa "Kwa Mjomba hakuna urithi"

Wazee waburudani wa JF najua humu hili halishindikani.

Msaada wenu wakuu,

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom