tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,751
- 31,078
Lissa Lyrics by Rapcha
Tongwe Records baby Bin Laded
Saa sita mchana jua la utosi Chuo boom! limetema Nimekaa kiboss Ata presha ya msosi sina Somebody is calling… Oh kumbe Lissa Nimemsave Love of my life Nikaweka na loud speaker Nikamsikia anaongea ka analia Nikamuuliza Are you okay Monalisa?
Akanianiambia Babe siko sawa kabisa Nadaiwa ada Na jumatatu ndo tunaanza paper yaani Na nisipolipa siruhusiwi Kufanya mitihani Laki tano nzima Nitaitoa wapi yaani?
Oh don’t worry nalifix boo Kwa kuwa nishadaka hela Boom kulibeba hilo jukumu Nikamwabia basi nakutumia Usikate simu kwanza love Ili uniambie ikiingia Mmmmh baby Mbona hii namba Ina jina la kiume?
Akaniambia Hio line ni kaka yangu alinisajilia Laki tano kwenda kwa lisa Bonyeza moja kuidhibitisha Mbili kubatilisha Mimi nikadhibitisha Laki tano na elfu tano Na makato ya kutoa Kwenye account yake Pale pale ikadhibitishwa She was like Thanks baby nimeiona Jioni jua likipoa Nitakuja kwako kukuona And for real nimekumiss kinoma Nikamwambia nitafurahi sana Kama nitakuona okay Saa kumi na moja mtoto hajatimba Labda ndo anatoka home Acha nivunge mida mida anafika Saa moja kamili mtoto hajatimba Nikasema huenda foleni Kubwa ila punde tu atafika Saa tatu usiku mtoto hajatimba Giza limetinga Nishampigia sana simu hapokei Text zinadunda Nikawaza mpaka usingizi ukanichukua Siku ya pili Smu hapokei text hajafungua Siku ya tatu kimya Nikasanuka nimcheck beshte yake Huwezi amini nilijuta kumpigia Nikamwambia…
Hey shem you good? Am good Siku ya tatu beste yako kanilia buyu Nowadays Lissa Mbona ana madrama huyu Akaniambia Shem kama una kifua Nitakwambia Kweli Lissa amechange Ana bwana mpya msanii Huyo ndo anayemdrive crazy Juzi si ulituma hela Ada alipokulilia, hiyo hela Kampa bwana yake akatumia Dah! Maumivu huwa makali Ukimpa kitu mtu umpendaye Akampatia ampendaye zaidi Magoti yaliniisha nguvu Chozi chini mbupu ndichi Roho iliniuma sikufichi Dah! Nikaondoka home Kwa hasira nimfuate Lissa Cause jealousy inanitessa Na kila nikimwaza Naona ka dereva Ana utani na mimi Dala dala ndio inonenda taratibu Nilitamani nikaiendeshe mimi Nikafika mpaka kwa Lissa Ile nakaribia mlango naskia mziki Ila kuna sauti ka sizielewi
Nikaona siwezi gonga mlango Nikapita nao na teke mpaka ndani Nilichokiona sitosahau maishani Kidume kinamkazia kitanda ndani Ye busy analia Machozi hayatoki anaifinyia ndani Hata hawakushtuka Wamhofie nani? Jamaa akapiga tako nane Akamwagia ndani Nilipatwa kizunguzungu Nusu nianguke sikuweza kuamini Lissa mbona umenitenda hivi? Nimekukosea nini?
Ungeniambia tuachane Ningekuacha huru Mwisho wa siku ningepona Sasa haya yote ya nini? Lissa kanibadilikia sura Mpaka sauti akanichange ia Akaanza kunitimua Huku na matusi ananishushia Ye na bwanake Wakaanza nipush mpaka nje Akanipigia kelele mwizi Watu wakanijazia Wote wakanijalia Wameshika mawe na marungu Wakanipiga kama mwizi Huu mtaa sina ndugu Hakuna wa kunitetea Wakanivika tyre ya gari Wakawasha moto fasta Nikaanza teketea Maumivu ya moto ndio haya Waloniumiza moyo Wameteketeza mwili vibaya Nina sekunde chache Za kuvuta pumzi ya dunia nzuri Ilojaa binadamu Wengi wa ubaya Sawa Lisa nakuwacha ufurahi Mapenzi niliyokuonyesha Umeamua kunitoa uhai Ahadi tulizoweka Zimezimwa na tamaa zako Mi nakwenda Karma itakulipa bye bye.