Swali: kesi ya kutoa mimba

Shabdullah

Member
Feb 17, 2020
65
52
Habari zenu wakubwa na wadogo zangu.

Naomba niende moja kwa moja kwenye swali/maswali..

Kisheria: Je mwanamke anaweza kuingia hatiani kwa kosa la kutoa mimba bila ya sababu ya msingi/inayokubalika kisheria?

Na

Kama ni kosa je adhabu yake ni nini?

Kwa wanaojua wanifafanulie.
 
Jibu. Ndio ni kosa, anatuhumiwa kuondoa uhai wa mtoto aliye tumboni.
Pia anatuhumiwa kwa kujaribu kujiua yeye mwenyewe maana pengine halikuwa lengo kutoa mimba bali kujiua ikafeli mimba ikatoka.
Adhabu yake ni kifungo jela kuanzia miezi 6 na zaidi(sina hakika kwenye adhabu)
 
Back
Top Bottom