Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

War Horse 2011 Farasi wa Vita. Hichi kisa cha War Horse 1912 Devon, England jamaa-Ted ananunua Farasi mnadani kwa mkwara anamu-outbid mwenye nyumba wake, watu wote wanamshangaa mbona Farasi sio...
2 Reactions
0 Replies
854 Views
Ee bwana unifadhili-by Aloyce Goden Huu wimbo una fikirisha na kunibariki sana. Hongereni sana wanakwaya wote mliohusika katika wimbo huu. Kweli mliutendea haki, Mungu awabariki sana ni wimbo...
2 Reactions
0 Replies
889 Views
Katika mazingira ya kitanzania ni ngumu sana kukua kwa kufurahia maisha kwa kula unachokipenda kukaa sehemu nzuri; kuvaa vizuri; kukutana na watu smart yaani mtu mpaka anakuwa mtu mzima anakuwa na...
1 Reactions
19 Replies
11K Views
Mwigulu anawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzani. Wale mnaokwenda Burundi msisahau kumsalimia Ndaishimiye.
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Kama ni mpenzi wa documentaries share nasi baadhi kati ya ulizoangalia. Itapendeza ukitueleza kidogo inahusu nini. Mimi naanza na darwins niightmares. Hii imetengenezewa Mwanza Tanzania na...
15 Reactions
288 Replies
52K Views
Wakuu wale wapenda Hip Hop ngumu za asili mtu mzima Nas Escober ameachia album yake Kings Disease II Mwaka jana aliachia KD1 na ikafanya poa ikampatia Grammy Award kama album bora ya hip hop...
1 Reactions
0 Replies
925 Views
Wakuu ninaomba anayejua huu wimbo aniambie, unapigwa sana kwenye kipindi cha Salaam cha Voice of America kama kibwagizo. Una mahadhi ya Caribian huko. Unaanza na dancee dancee Naomba anaeujua...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
3 Reactions
1 Replies
498 Views
Kwa ufupi huko zamani enzi za uzee wangu sikuwa kabisa mpenzi wala mtu wa mziki kabisa. Lakini mwaka 2009 au 2011 hivi ndipo nilipoanza kufuatilia na kuupenda mziki lakini, hayo yote yalikuja...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu Hivi ndio wamecopy kwa wazungu ama wingi wa makaburu umechangi? Yaani kila tamthilia ya kisauzi utakayoingalia lazima wachomekee au kuweka character ya shoga mmoja Mbona kama wanahamasisha...
6 Reactions
31 Replies
5K Views
Think of it like this; everyday we wake up in the morning and have a cup of tea! A hot, steamy cup of tea! Yes! Sometimes we burn but sometimes the heat does not really affect us because we have...
0 Reactions
0 Replies
594 Views
Pole na mihangaiko ya hapa na pale ili kutafuta chapaa Tusogeze maisha basi wikiendi baada ya bata ni movie list ya movie zangu za wikiend hii ya jumapili A Gangster A Cop and Devil : ni movie...
1 Reactions
8 Replies
959 Views
Unapoandika mswada [script] kuna vitu vitatu vya msingi kuzingatia: • Muhusika (character) • Muundo (plot) • Dhamira (theme) 1. TUKIMZUNGUMZIE MUHUSIKA KWANZA Mswada wa filamu una sehemu kuu nne...
2 Reactions
5 Replies
20K Views
Salamu ndugu zangu na wakubwa shikamooni. Kutokana na kifo cha Albert Mangewa na Mez B pia kiongozi Noorah hafanyi tena music sababu za familia. Wanachemba tuko wengi sana na tunaweza chama letu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hii ngoma ya Kaligraph nimegundua inaongozwa kufanyiwa remix kipi kimevutia wasanii. Kama kaligraph na ye alicopy beat sehem na je original version yake Ni ipi? ngoma gani nyingine unayoijua...
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Ni miaka mingi tunaendelea kuona movies zinazoigizwa kuhusu mazombi na mavampire kiasi kwamba watu wengi hata watoto wanaamini kama vitu hivyo vipo live na wamekariri kweli kweli. Je ni kweli...
2 Reactions
16 Replies
46K Views
intermittent explosive disorder ilimtafuna vilivyo, udogo wake hakuufaidi sababu ya maradhi hayo, hakuna aliependa kumkalia karibu bila sababu, Watoto wenzie walimtenga, wazazi wake wakamshindwa...
5 Reactions
3 Replies
1K Views
Binafsi hawa ni ma legends ninaowakubali 1. Avenged sevenfold 2. Death punch 3. Nickeblack. Haya nawewe tupiamo hapa ngoma ya heavy metal ili tupate na experience na pia ni mwanamuziki gani unamu...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomben mnitajie list ya movie kali za kihalifu au kihuni kama hizi nlizowah kuziona mimi. -Living Pablo -Narcos season -El Mariachi...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Wakati mwengine ukweli usemwe, nilikua nadhani mziki wetu umepoteza dira kwasababu ya kiki, skendo na mambo mengine yasiokua na maana na tena yanaharibu kabisa watoto wetu huko uswahilini. Tokea...
2 Reactions
25 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…