Movies za zamani ambazo ni nzuri sana

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Japo ziko black and white, kuna movies zina akili na waigizaji mahiri sana. jaribu udownload bluray na utafute subtitles kutoka subscene.com harafu uenjoy movie hizi kali.

1. Gone With The Wind 1939
Kwanza hii ndiyo the best selling movie of all time. hakuna iliyowahi uza kama hii. ina bonge la love story.

2. Casablanca 1942
Kama unapenda love story huwezi kuwa hujawahi kusikia hii.

3. The Treasure of Sierra Madre 1948
Movie nzuri sana ya adventure. Jamaa watatu walienda mexico kuchimba dhahabu. full kusalitiana.

4. Seven Samurai 1954
Ni movie ya kijapan. ni moja kati ya best movies za mapigano.

5. The Godfather 1972
Al pacino alikuwa junk na bado hajawa na mdomo mchafu. inaelezea maisha ya mafia.

6. The Good, The Bad and The Ugly 1966
Inazungumzia maisha ya wild west. ni moja kati ya triology za Clint Eastwood. Movie poa sana. Zingine tutaweka badae. kama nawe umewahi cheki na kupenda movie za long share nasi
 
Zingine nitajaribu download, ila samurai neh, wajapan wanafanana kama mapera hata hujui yupi ni yupi
Niliipenda sana, nafikiri pia sababu kwenye mitandao waliirate juu sana. kuna hizi za vichekesho utacheka hadi basi.
Some like it hot 1959
Tootsie 1982

Hizi zinaaminiika ndio comedy nzuri kabisa kuwahi kutengenezwa. zingine ni

Blazing saddles 1974
Airplane 1980, nilicheka sana hii
The graduate 1967, ina ka love story kazuri. zile zikumuiba bi harusi siku ya harusi.
 
Mkuu Red Giant hongera kwa uzi huu. Naomba wadau mwongeze na: The count of monte cristo muvi safi sana inahusu mapenzi ya kweli. Mateso na kisasi hakika utaipenda pia na movie ya for a few dollars more itafute uione kwa wale walioipenda the good, the bad and the ugly
 
Walioipenda the godfather trilogy wanaweza itafuta american gangster ya denzel washington iko kwenye nakaba hizohizo za umafioso
 
Wadau kuna movie moja oldies. Jamaa walitafuta mali kwa shida sikumbuki vizuri ilikuwa dhahabu/pesa nyingi baadae wakasalitiana na kuuanza kuuana mwishowe wakamalizana wote na ila mali ikabaki imefichwa dampo la magari mengi kuukuu ndani ya buti ya gari. Kwa anayeijua jina lake anikumbushe tafadhali.
 
Walioipenda the godfather trilogy wanaweza itafuta american gangster ya denzel washington iko kwenye nakaba hizohizo za umafioso
Niliicheki hii. denzel akichezaga kauzu huwa anapatia sana. Kama kwenye malcom x kabla hajaenda jela. kuna manchurian candidate orijino ya 1950's. kuna kamaza ka master mind balaa.
 
Niliicheki hii. denzel akichezaga kauzu huwa anapatia sana. kama kwenye malcom x kabla hajaenda jela. kuna manchurian candidate orijino ya 1950's. kuna kamaza ka master mind balaa.

Huyu Danzel ni hatari yupo kauzu balaa kuna the book of eli hii hapana.
 
Kuna movies za Indiana Jones
Indiana Jones and the raiders of the lost ark 1981
Indiana jones and the tempo of doom 1984
Indiana Jones and the last crusade 1989. harrison ford na sea connery.

Kuna nyingine imetoka 2008, indiana jones and the kingdom of the crystal skull. hizi movie huwa sichoki kuangalia.b

Bila kusahau from russia with love 1963, sean connery.
 
Mkuu Red Giant hongera kwa uzi huu...naomba wadau mwongeze na..the count of monte cristo muvi safi sana inahusu mapenzi ya kweli..mateso na kisasi hakika utaipenda pia na movie ya for a few dollars more itafute uione kwa wale walioipenda the good, the bad and the ugly
hiyo for a few dollar niliicheki pamoja na a fistfull of dollar. nimetokea kumpenda sana clint nikacheki yake nyingine inaitwa hang 'em high.
kuna movie yake inaitwa sudden impact, humo jamaa ni polisi mwenye kujiamini sana na ana kamsemo 'go on make my day". basi wakenya badala ya make my day wakawa wanasema MEKMENDE. hadi leo watu wanaojiamini/proud huko kenya huitwa mekmende.
hiyo monte cristo itabidi niitafute. ni story ya yule jamaa wa three musketeers?
 
kuna movies za indiana jones
indiana jones and the raiders of the lost ark 1981
indiana jones and the tempo of doom 1984
indiana jones and the last crusade 1989. harrison ford na sea connery.
kuna nyingine imetoka 2008, indiana jones and the kingdom of the crystal skull. hizi movie huwa sichoki kuangalia.b

bila kusahau from russia with love 1963, sean connery.

indiana jones is one of the best
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom