Natamani kutengeneza filamu ya 24 hrs before Hamza's death, naomba ushauri

Muuza viatu

JF-Expert Member
May 14, 2020
3,840
7,916
Habarini wadau nimepata wazo la kutengeneza muvi linalomuhusu yule jamaa wa kisomali na kichwa cha habari hapo juu ndio jina husika.

Lakini kabla ya kuingia mzigon nimeona nije kushea na wanangu wa faida kuhusu huu mradi labda nitapata washirika wa kimawazo au kimtaji ukizingatia mpaka sasa stori yenyewe bado haipo sawa lkn kupitia humu nadhan watapatikana wadau ambao wanamjua mshkaj walau kwa uchache ili kupata stor ikiwa vzr.

Mtaji mpaka sasa ni m5 ila km nilivyosema akipatikana mdau tunaweza jadili tuone tunafanyaje ili tuweze fanikisha hili zoez.
 
Kwa nin nikamatwe,haitoenda tofaut na mtazamo wa jamaa alikua gaid na kuwakumbusha vijana kuwa ugaid si mzur
Hutauza hata copy moja,, ukiweka youtube video itatrend kidogo kwa dislike za watz maana wengi wanaamini mwamba hakuwa gaidi (hakuua Raia yoyote)

Kama una baraka za wakubwa wa polisi utaiandaa na kuitoa ( umesema unawakumbusha vijana kuwa ugaidi si mzuri) hivyo nahisi umepewa fungu.

Ila Wtz wengi hawatakuunga mkono.

Ushauri wangu achana nayo!
 
Lengo la kubez upande wa jamaa ni gaid ni kutoenda kinyume na mamlaka kwa sabab nikiitoa tofaut na mtazamo huo haitopata kibal cha bodi
 
Dah aisee una bonge la idea mkuu ila tatizo wabongo watakubeza ungekuwa mambele huko ilikuwa Ni shavu
 
Sasa wewe unaeishi kiuhalisia nenda kutengeneza hio movie kwa namna unayoifikiria ww.Itanunuliwa na familia za kina Kingai,mahita na makada wa kile chama.
We jamaa kila kitu unakichukulia kiusisiem na uchadema,mim naangalia fursa ya kuniongezea kipato hata kipind cha kampen niliwachukua madogo nikawavisha fulana za chama husika eidha sisiem au sidiem hata kaf wakawa wanauza maji ktk mihadhara yao ya kampen namshukuru mungu mapato yake si haba we baki na ukada wako
 
We jamaa kila kitu unakichukulia kiusisiem na uchadema,mim naangalia fursa ya kuniongezea kipato hata kipind cha kampen niliwachukua madogo nikawavisha fulana za chama husika eidha sisiem au sidiem hata kaf wakawa wanauza maji ktk mihadhara yao ya kampen namshukuru mungu mapato yake si haba we baki na ukada wako
Alisikika motivational speaker akiongea kwa jazba.
 
Back
Top Bottom