MANARA ANAFUKUZA WAFADHILI PALE YANGA

MANARA ANAFUKUZA WAFADHILI PALE YANGA

Mr. Marangu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,574
Reaction score
1,595
Kumekua na utamaduni kwa baadhi ya wafadhili, kufadhili timu hizi pacha kwa wakati mmoja ( Simba na Yanga) mfano mzuri, ni Bia ya Kilimanjaro, Sport pesa CRDB, POSTA BANK(hawa wote wamewahi kufadhili Simba na Yanga kwa wakati mmoja) anacho kifanya manara kwa kukejeli bidhaa zinazo fadhili Simba ni dhahiri zinagusa mfadhili direct hali inayoweza kupelekea uwezekano mdogo kwa wafadhili hao kuwekeza fedha katika timu ya Yanga, hii inatokana na jamaa kupondea bidhaa za wafadhili hao, mfano mzuri ni Mabasi ya Africarrier kwa kuyakeji na picha za hovyo pia amekua akikejeli jezi zilizo na nembo ya Vunjabei pamoja na Mo, ikumbukwe wafadhili hawa wanaweza au wangeweza kuwekeza kwa Yanga kama walivyo fanya kwa mtani wake
Hivyo manara anaiponza yanga pasina kujua
 
tatizo la walemavu kama manala wa akili wakipewa fursa + uswahili ndio tatizo.

yule jamaa ni mlemavu wa akili 100% .

tukiendelea naye kwa mtindo huu hakuna timu yoyote itakuwa kwa mtindo huu
 
Kwa hiyo ana ulemavu wa ngozi na akili. Duh!
 
Kumekua na utamaduni kwa baadhi ya wafadhili, kufadhili timu hizi pacha kwa wakati mmoja ( Simba na Yanga) mfano mzuri, ni Bia ya Kilimanjaro, Sport pesa CRDB, POSTA BANK(hawa wote wamewahi kufadhili Simba na Yanga kwa wakati mmoja) anacho kifanya manara kwa kukejeli bidhaa zinazo fadhili Simba ni dhahiri zinagusa mfadhili direct hali inayoweza kupelekea uwezekano mdogo kwa wafadhili hao kuwekeza fedha katika timu ya Yanga, hii inatokana na jamaa kupondea bidhaa za wafadhili hao, mfano mzuri ni Mabasi ya Africarrier kwa kuyakeji na picha za hovyo pia amekua akikejeli jezi zilizo na nembo ya Vunjabei pamoja na Mo, ikumbukwe wafadhili hawa wanaweza au wangeweza kuwekeza kwa Yanga kama walivyo fanya kwa mtani wake
Hivyo manara anaiponza yanga pasina kujua
Thibitisha

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Pole ... vumilia utazoea.
 
Yanga walivumilia hayo Kwa miaka takribani mitano alikuwa anaedit kwenye jezi kabisa kwamba visit kidimbwi na matusi lukuki na mlikuwa mnakenua tu
 
Kwanza nikueleze Yanga hatuwezi kudhaminiwa na Wahindi wenye undugu na Mo kama hao Africarriers, pia hatuwezi kumpa tenda yoyote huyo Vunjabei Coz hatuhitaji jezi fekolo kwa timu yetu

Nakushauri tu fanya mambo yako, na yasiyo kuhusu Achana nayo ww kolo
 
Back
Top Bottom