FOR GAMERS ..part two

FOR GAMERS ..part two

Joined
Nov 24, 2019
Posts
11
Reaction score
18
Kabla mwaka haujaisha una list ngapi ya game nzuri za kwenye simu yako iwe Android au iOS , Kuna hili game linaitwa BUS SIMULTOR ULTIMATE limeletwa na kampuni ya ZUUKS GAME .
Lina nafasi ya 600+MB Kama utachukua playstore au applestore .
Hili game Lina restrictions nyingi Sana Ila kila bus Lina utamu wake , Kama wewe ni dereva wa mkononi bus hili game Lina kusubiri....
Ukipenda angalia clip zake

 
Back
Top Bottom