Natafuta nyimbo za feregola

Natafuta nyimbo za feregola

Me natafuta ule wimbo nadhani ni wa pepe kale nakut.mba bureeeee nakupiga makofiii.

Unaitwaje wadau?
 
Ngoma za Bar hizi

Nikisikiaga nawashwa kutafuta kijiwe niweke kambi so msiniharibie kazi aisee msitake nitoroke niende dukani kwa mangi kushtua japo mbili za bariiiiidi
 
Ngoma za Bar hizi

Nikisikiaga nawashwa kutafuta kijiwe niweke kambi so msiniharibie kazi aisee msitake nitoroke niende dukani kwa mangi kushtua japo mbili za bariiiiidi
Upo sahihi mkuu, si wengine umri ushatutupa nikiwa bar bila kusikia asossier, nakuhitaji, na hizo za feregola hiyo bar nahama
 
nipo nasikiliza Pisson d'avril muda huu. 100 kilos hiyo
Mkuu shukrani sana yaani sasa hivi naipeleka kwenye memory card Moja kwa Moja isije ikanipotea tena

Mkuu ukiweza kunisaidia ngoma ya nakuhitaji - Christian bella nitakushukuru sana.
 
Mkuu shukrani sana yaani sasa hivi naipeleka kwenye memory card Moja kwa Moja isije ikanipotea tena

Mkuu ukiweza kunisaidia ngoma ya nakuhitaji - Christian bella nitakushukuru sana.
Usipate shida download vidmate playstore au Google then install vyote unavyotaka vipo humo
 
Back
Top Bottom