Nime mkumbika Manara baada ya Fb na insta kuzima

Nime mkumbika Manara baada ya Fb na insta kuzima

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,107
Reaction score
1,948
Wazee walio sema SOMA! elimu ni adhina isio pokonywa walikua sahihi sana..

Watu wadini pia wanalao wanasema usimtegemee mwanadamu kwasababu binadamu hufa ..

Wote tunajua kua ugali wa Haji Manara ni account yake ya Instagram ,,
Kelele zake Instagram ndio zinafanya makampuni yampe ubalozi wa bidhaa zao sasa leo Facebook na instagram zote zime kua down kwa masaa zaidi ya matano(zimerudi now japo hazipo normal)

Nimewaza tu endapo kama zingeondoka jumla ?

Somesheni watoto na mlio shule someni sana hivi vitu hivi vya janja janja mda wowote utaskia chali!
FA4eGstXMBwHKi3.jpg
 
Back
Top Bottom