Pia unaweza kuisoma hadithi hii na nyingine nyingi bure ndani ya maktaba app(by pictus). install toka playstore.
KISA CHA NDUGUYE KINYOZI WA TANO
MIMI ni Kinyozi na nina ndugu sita. Hiki ni...
Nimeitazama muvi ya Binti, niseme tu ni moja ya filamu nzuri sana ya Kitanzania ambayo inapaswa kutazwa na kila Mtanzania, unajua kwa nini? Ni kwa sababu inaonyesha mapito ya mabinti wanne...
WAKUU MPO POA
Leo nilikuwa na watch movie inaitwa TENET.
Kusema la ukweli hii movie sijaielewa.
Ningependa kwa mkuu aliyebahatika kuiangalia just anipe hata kasummary kidogo kuhusu hii movie.
Wasaalam ndugu zangu,
Mimi ni mfuasi wa tamthilia hasa ambazo watu wanatumia akili nyingi lakini pia zinazozunguzia maisha halisi ambayo jamii tunayoishi inaweza guswa kwa namna moja ama...
Mwanamuziki nguli anayetamba duniani kwa kazi zake na ukwasi mkubwa Naseeb Abdul Juma Issack almaarufu kama Diamond Platnumz anastahili kupewa tuzo ya heshima ya udaktari wa falsafa na vyuo...
Kupitia AzamTv kuna tamthilia inaitwa kombolela, iko vizuri sana, mimi sio mpenzi wa tamthilia za Bongo, ila hii ni kali.
Inaakisi maisha halisi ya uswahilini, maisha halisi ya Mtanzania wa hali...
Wakuu,
Kwa wale mnaotumia kitabu cha tumwabudu Mungu wetu, wimbo namba 49, au Tenzi za rohoni (sijui upo namba ngapi) au wote mnaoufahamu wimbo huu, (nakutegemea Yesu) ni wapi naweza kupata"...
IMEANDIKWA NA : RICHARD MWAMBE
*********************************************************************************
Simulizi : Julai Saba
Sehemu Ya Kwanza (1)
Dunia inakumbwa na wimbi la ugaidi...
Kawaida western huwa zinakuwa na actors wazungu ila hii ni macowboys weusi watupu tena wenye majina makubwa.
Stori ni jamaa kurevenge vifo vya wazazi wake lakini kuna plot twist moja nzuri sana...
Habarini wanaJF
Nazungumzia nyimbo kama za Alakina:
Harusi Mabelee
Pepe Kale
Boz bozian
Zaiko Langa langa
JB Mpiana
Koffi Olomide
Defao
e.t.c..........
Nime gundua nazipenda sana Zuku za Zamani...
Tubadilishe content kidogo na narrative ya muziki wa kizazi kipya.
Vijana hawafanyi maendeleo kwa sababu miziki ya kisasa inawahamasisha kufanya starehe na sio kuwekeza au kufanya mambo ya maana...
Habari za jioni wakuu,
Kama ombi lilivo hapo juu, Official Audio na Official Video zote hazipo kwenye digital platforms.
Msaada kwa mwenye nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda nikiri tu kwa upande wangu hasa katika mziki wa reggae nimekuwa nikimsiliza zaidi legend Bob Marley
Kutokana na mziki anaofanya kuwa na messages nzuri sana
Sasa wakuu ukiachana na Bob...
Huyu mwamba kwenye reggae music yuko underrated. Hii ngoma Ngixolele na ngoma zake kibao kama Soldier ni kali sana na kweli ulimwengu wa Reggae to me he's next after Bob then Dube anakuja nafasi ya 3.
Akili ya kawaida tu,mngetaja mshindi wa tatu halafu wa Kwanza.
Ama mngetaja mshindi wa pili kisha wa kwanza halafu wa tatu anajulikana tu kwa vile wapo watatu stejini.
Yote kwa yote nampongeza...
Humu utakutana na mzee mzima herry cavill ( geralt of ravia ) jamaa ni witcher kazi yao kubwa ni kupambana na mashetani na majitu ya ajabu ili kuwalinda binadamu lakini wao wenyewe ni mutant (...
1 ghau from ivory cost
2 vieux zengue and jack from ovory cost
3 mark angel from nigeria
4 joti from Tanzania
5 Samuel asubiojo from nigeria
6 mister big big from Tanzania
7 sidne from...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.