Jux - As Long As You Know!

Jux - As Long As You Know!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,257
Reaction score
22,138
Ngoma kali sana,

Ila kama ni kweli amemuimbia Vee I doubt if it's true kwamba vee hayuko na amani wakati she seem very happy. That aside, jux ni msanii mkali wa RnB na ana fan base yake ya ukweli Tu. he's kinda an artist ambaye hafanyi mziki kwa shida .

 
Vanessa bado haja move on
Kwenye mahusiano ukiona mwanamke ana mpost sana mwanaume kuliko mwanamke ujue kuna ex anakomolewa au kuna kitu hakipo sawa.
In maana mama 7 Hana furaha pale alipo?
 
Ndo hvyo na mahusiano ya kumkomoa mtu siku zote hayadumu hapo lazima avumilie ili asionekane kivuruge.
Daaah, mambo ya mahusiano haya yana changamoto sana. Ndio maana wazungu unakuta mtu anahamisha mapenzi kwa mbwa au paka kwaajili ya royalty
 
Back
Top Bottom