Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

FULL STORY Author:KerlimKerl Mwaka:2021 Tuna muona mdada akiwa amelala pamoja na mpenzi wake ndege ikielekea kwenda Northland. MWANZO WA ***** "Machungwa mazur hay sijui nipatie, kata...
0 Reactions
2 Replies
10K Views
1. Afande Sele – Mkuki Moyoni 123 2. Alikiba – Mac Muga 3. Bizman – ametoroshwa 4. Bushoke – barua 5. Crazy Gk ft Pauline Zongo – Sister Sister 6. Crazy Gk ft Mariamu – Sauti ya Manka 7. Daz baba...
10 Reactions
89 Replies
16K Views
Naomba kufahamishwa mitandao ambayo angalau unaweza kupunguza misongo ya mawazo. Cartoon, vichekesho, nk. Nimejaribu nimeona nyingi zinakuwa za matusimatusi. Hizo hapana.
0 Reactions
3 Replies
874 Views
Nadhani ni wa Omar Omar kuna kipande anasema "Kumbee yuko yuropaaa anatwanga na kupepetaaa katika harakati za kutafuta maishaaa vijana tutimkeeee
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni mwisho wa mwaka. Msimu wa sherehe na burudani. Mimi hutumia BoomPlay kusikiliza muziki. Leo nimeona wamenipa 'chat' ya usikilizaji wangu muziki ulivyokuwa. Let's Share; Cc; GENTAMYCINE My...
6 Reactions
18 Replies
851 Views
Majina yake halisi ni Tim Bergling amezaliwa septemba 8 mwaka 1989 Stockholm Sweden anafahamika zaidi kwa jina la Avcii alikuwa mkali wa EDM (Electronic Dance Music). Amefariki tarehe 20 Aprili...
11 Reactions
34 Replies
4K Views
Babaa... Tambua kuwa moyoni naumia... Nimepata maradhi, na tiba unayo wewe babaaa... Fanya hima, naumia eeeh... Kila nikilala taswira yalo naiona, vivyo hivyo suati yako... Huku akili yangu...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau wa pande za kigoma wapi maeneo mazuri ya kula bata.hasa kwa siku kama ya jumatano na ijumaa.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari wapenda burundani. Kama title linavyojieleza, naomba list ya majina ya movie na documentary za kijasusi. Asante..
1 Reactions
5 Replies
4K Views
TRENI ya abiria kutoka bara iliwasili kwenye Stesheni ya Dar es Salaam majira ya saa tano asubuhi. Kuwasili huko kuliwafanya baadhi ya watu waliokuwa wakisubiri, kuanza kuangalia kwenye madirisha...
7 Reactions
29 Replies
8K Views
Nilikuwa naangalia movie ya Tenet. Sijaenjoi kabisa. Unaangalia movie lakini unakuwa kama unasolve puzzle bwana. Inception nayo ilikuwa hivyohivyo lakini afadhali hii ilikuwa na action nzuri...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habarini. Si ku nyingi nimekuwa naona wasanii waanzilishi wa hiphop hapa Tz walikuwa wanatokeo, au hasa waliowahi kuishi Mbeya. Sugu anatajwa kama watu wa mwanzo kuanza kuimba hiphop Tz. Huyu ni...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
1. Harmonize -Atarudi 2. Harmonize -Sina 3. Harmonize - Mpaka kesho 4. Ibraah - Mapenzi 5. Rayvanny - Naogopa 6. Alikiba - Utu 7. Jux - Utaniua 8. Harmonize - Niambie 9. Harmonize - Never Give Up...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa muda sasa ni kama nimegundua kuibuka upywa kwa ushabiki wa kazi za nyumbani haswa kupitia tamthiliya mbali mbali kwenye TV. Ni Muda mrefu sana sijaona Watu wamekaa kuangalia Kazi za nyumbani...
4 Reactions
57 Replies
7K Views
Wakuu! Natumaini mu wazima Nina shida na kwaito kutoka South Africa "Zilizotamba bongo" kwenye sherehe na tafrija mbalimbali tangu miaka ya 2014! Kwa bahati mbaya sijui majina ya nyimbo wala...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Naombe anaefahamu Ngoma kali za huyu Travis Scott azitaje nijaribu kumfuatilia. Maana jamaa anafanya show heavy na ana fans wakutosha. Ni zipi ngoma zake kali ambazo zipo kwenye playlist yako...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Kumbe sio comedy, https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1950591/
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Huu ni mmojawapo ya nyimbo nzuri za Rihanna na ni wimbo ninaoupenda, Naomba mnifafanulie ujumbe uliokusudiwa na Rihanna kwenye huu wimbo wake Te Amo! Alikusudia kutupa ujumbe gani...
6 Reactions
32 Replies
5K Views
Amemshirikisha dogo anaitwa Coded (4x4), ni ngoma yenye takribani miaka 9 tangu itoke lakini masikioni mwangu haichuji kabisa. Enjoy the good music [emoji2] https://youtu.be/dgcj27dzfqM
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Harmonize baada ya kupoa amekuja na dude kubwa alo konde gang sawasawa wamekuja na video Kali ya kung'aa dhahabu yaani pesa tupu.ngoma kweli ya mauzo au mnasemaje Hizi hapa lyrics Hahahaha we...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom