Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,458
- 8,965
Wadau wa Hip Hop umu JF, heshima kwenu wakuu!
Binafsi, kila ninapoitazama hii video ya 'Bongo Hip-Hop' by Fid Q ft. P Funk na kuilinganisha na videos zake zingine zote tangu yupo kwenye hip-hop game, naishia kuwa in dilemma as to whether Fid Q wa sasa ni yule yule wa awali ama anaanza kubadilika? in line with Fid Q's hip-hop image since the inception of his music career.
Mandhari na swagga za Video hii, naona dizaini kama mkali Fid Q ameanza kubadilika kimikato na kiswagga ktk hip-hop. Nguli huyu likely anaanza au anaelekea kuanza kufanya commercial/modern hip-hop. Kwa jinsi navyomfahamu Fid Q, video yake hii inanifanya nikumbuke ile concept ya ''KEEPING IT REAL Vs. KEEPING IT RIGHT'' through which all hip-hop artists do their stuff.
If you closely follow-up on the previously released Music Videos by FID-Q, you will barely visualize a notion of ''KEEPING IT RIGHT'' in his career. But katika video yake hii mpya, naona sasa Fid Q is ''KEEPING IT REAL'' and not ''KEEPING IT RIGHT'' anymore!
And ofcourse from this point of view, we may now therefore have unsolved task into our minds kwamba What has induced Fid Q to likely shift from one dimension to the other? is it for maintaining & upgrading his fame? or is it for commercial puporses? I am still digesting on this!
-Kaveli-