Kwa wadau wenzangu wa MMA....!!!!

Kwa wadau wenzangu wa MMA....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,139
Kati ya Francis Ngannou, Kamaru Usman na Israel Adesanya yupi ni MMA fighter mwenye asili ya kiafrica unayemkubali zaidi? Personally namuelewa dogo Israel The Style Bender kwa machejo yake [emoji2][emoji2].View attachment 2104123View attachment 2104122
Screenshot_2022-02-01-17-46-51-67_1c337646f29875672b5a61192b9010f9.jpg
 
stylebender namkubali sana ule msemo wake ''you can't beat me am prepared to die''

izzy,slylebnder A.K.A adesanya
 
Bishoo flani anayetoa mkong'oto [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dana White anasema:
Francis Ngannou has the world record for most powerful punch, his punch is the equivalent of 96 horsepower, which is equivalent of getting hit by a Ford Escort going as fast as it can, and it is equal to getting hit by a 12-pound sledgehammer swung with full force from overhead.”

1643728376377.png

Maskini Mholanzi hiyo Ngumi ilimpata. Alistair Overeem hadi kichwa nilidhani kitachomoka kwenye Shingo.

Adesanya alianza vizuri sana ila kwa sasa naona kama kawa Mzembe kidogo.
 
View attachment 2104139

Kubabae ngumi si ngumi
 
Adesany baada ya kupigwa na jamaa yule ngoja tuone remarch na whittaker iyo trh 14 hope alishinda lakini baada ya kupigwa alishinda mchezo ufuatao na vettori
 
Ngoja niwakumbushe kidogo, Kuna mwamba alikua anaitwa Kimbo Slice (R.I.P) huyu alikua ni mbabe wa ngumi za mitaani (bare knuckle fights) baadae akahamia kwenye MMA. Huyu chuma ni moto aisee , alikua anagonga balaa. Aliwahi pia kuact kwenye movie ya blood and bones na bwana Michael Jai White, kwa aliyewahi kuiona. Check hapa baadhi ya highlights za mapambano yake ya bare knuckle fights.. R.I.P KIMBO

https://youtu.be/5TrnWQVbEWs
 
Kumbe Kimbo Slice alishafariki..RIP mzee ngumi nyundo...
 
Back
Top Bottom