Professor Jay Ndio anatokomea !
Mwakalinga Y. R
JF-Expert Member
Oct 22, 2008
2,720
1,225
Nimepata nafasi ya kusikiliza nyimbo mpya ya mkongwe wa hip hop Tanzania Professor Jay lakini kwa mtazamo sijasikia kitu kipya ,Mkongwe huyu anapotoa track basi itakuwa ni gumzi mitaani
Hii track ya Kama Ipo naona kama amerudia maneno yale yale kwenye tracks za nyuma -yaani hakuna jipya.
Nimezoea vitu vipya mfululizo na vyenye msisimko kama Chemsha bongo,Bongo Dar es Salaam,Ndio Mzee,Sio Mzee,Zali la mentali,Hivyo Sivyo na Hapo vipi...
Nadhani kuna haja ya wasanii kujifunza kutoka kwa wasanii wengine walioko nje ya nchi wanakotoka na kusoma alama za nyakati.Sizani kama ni mbaya kwa msanii mkubwa kuamua kuomba ushauri wa kiutunzi kutoka kwa mashabiki kupitia website yake ama kwenye mitandao ya kijamii.
NGULI
JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,808
1,225
Kweli mkuu,ila kwa ss prof anapambana na ugonjwa wa kisukari alioupata hivi karibuni aki recover vizuri labda atafanya vyema. Naona afanye colabo na Roma Mkatoliki ambaye naona anachukuwa nafasi yake
Mwakalinga Y. R
JF-Expert Member
Oct 22, 2008
2,720
1,225
Nampa pole sana Professor .Namwombea apone haraka
Kweli mkuu,ila kwa ss prof anapambana na ugonjwa wa kisukari alioupata hivi karibuni aki recover vizuri labda atafanya vyema. Naona afanye colabo na Roma Mkatoliki ambaye naona anachukuwa nafasi yake
Jestina
JF-Expert Member
Jan 6, 2011
4,834
2,000
mie naona sauti iko pale pale ni mkali,sema amekosea lyrics....hazina ishu.....zimemlet down
mchemsho
JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,183
2,000
Sisiemu wananua wasanii, labda aende aanza kuimba nyimbo za chama halafu baadae anaweza kuwa promoted kama komba naye akajitwalia jimbo.!
Muuza Sura
JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,988
1,250
sokoni na katika show prof ndo hudhihirisha umwamba wake!ni kweli vijana wengi wanachana na wana hits za kutosha ila nachoweza kuwaambia wadau heshima ya prof jizze katika game haijashuka kama wadau wanavyodhani na ndo maana mkali bado anapata show nyingi na yowe la kutosha kwa nyimbo hiyohiyo ambayo inaonekana kama inabamba!!!!!tofauti ya prof na wasanii wengine ni moja!nayo ni,J anatakiwa atoe ngoma ili auze wakati wasanii wengine inabidi watoe hits ili wauze na kupata show!..........HIP HOP TOP GUNS NEVER DIE!
Kwamex
JF-Expert Member
Apr 11, 2011
378
0
Nimepata nafasi ya kusikiliza nyimbo mpya ya mkongwe wa hip hop Tanzania Professor Jay lakini kwa mtazamo sijasikia kitu kipya ,Mkongwe huyu anapotoa track basi itakuwa ni gumzi mitaani
Hii track ya Kama Ipo naona kama amerudia maneno yale yale kwenye tracks za nyuma -yaani hakuna jipya.
Nimezoea vitu vipya mfululizo na vyenye msisimko kama Chemsha bongo,Bongo Dar es Salaam,Ndio Mzee,Sio Mzee,Zali la mentali,Hivyo Sivyo na Hapo vipi...
Nadhani kuna haja ya wasanii kujifunza kutoka kwa wasanii wengine walioko nje ya nchi wanakotoka na kusoma alama za nyakati.Sizani kama ni mbaya kwa msanii mkubwa kuamua kuomba ushauri wa kiutunzi kutoka kwa mashabiki kupitia website yake ama kwenye mitandao ya kijamii.
Hata wasanii wa nje wapo wanaochemka kwenye game, we fatilia wasanii wa nje walioanza kuvuma miaka ya 90 mwishoni ambayo ndiyo miaka ya Jay kuanza kuvuma wangapi wapo?....nadhani Jay bado yuko vizuri aingie tu maktaba yake achek ngoma gani inafaa kuachia kwa nyakati hizi na kuweza kuwakamata raia.
Bucad
Senior Member
Aug 15, 2011
120
0
Sisiemu wananua wasanii, labda aende aanza kuimba nyimbo za chama halafu baadae anaweza kuwa promoted kama komba naye akajitwalia jimbo.!
<br / mimi hapo ndipo napochoka yaani kila kitu siasa!
Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
Jul 20, 2010
4,521
0
Kweli mkuu,ila kwa ss prof anapambana na ugonjwa wa kisukari alioupata hivi karibuni aki recover vizuri labda atafanya vyema. Naona afanye colabo na Roma Mkatoliki ambaye naona anachukuwa nafasi yake
Itakuwa ni sukari guru. Ila huu ugonjwa ni mbaya ulichukua maisha ya mzazi wangu.
Bujibuji
JF-Expert Member
Feb 4, 2009
50,546
2,000
Nadhani kuna haja ya wasanii kujifunza kutoka kwa wasanii wengine walioko nje ya nchi wanakotoka na kusoma alama za nyakati.Sizani kama ni mbaya kwa msanii mkubwa kuamua kuomba ushauri wa kiutunzi kutoka kwa mashabiki kupitia website yake ama kwenye mitandao ya kijamii.
Ndo maana hamna kama SUGU
Magoo
JF-Expert Member
Sep 4, 2011
445
195
kila kitu na wakati wake lazima mkubali hakuna msanii aliyesimama kama J kwa tungo so akaze buti bado wakati wake upo saaana tu
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Umesahau Password au akaunti yako?
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us
Top Bottom